Nahitaji ushauri wako kuhusu saratani ya damu

Nahitaji ushauri wako kuhusu saratani ya damu

Nashukuru kwakweli aneniongezea imani maana niliskia kwa mtu sasa ujue ukisha kuwa na tatizo utaambiwa mengi lakini sasa lazma nikamuone huyu mzee na nitaleta mrejesho humu
Em nenda ndugu yangu. Mungu akafanye kitu kipya na kikuu kwenye afya yako.
 
Sure,I wil
Kama unachosema ni kweli,basi nitafute nikupe ushauri utakaokuponya kabisa na uwe mmoja wa mashuhuda humu.....
Vinginevyo hao waliokwambia uende ukapige chemo au mionzi na wale wanaokutaka ufanye maombi watakuua....cancer haitibiwi kwa maombi au mionzi....kuna watu wamekariri kwenda India lakini hakuna hata mmoja aliyepina cancer kwa kwenda India lakini bado wanang'angania kwenda India....watu kama sisi tunapowaelimisha watu kuhusu mambo haya tunadharauliwa...

Sasa kama kweli unataka kupona,usidharau,njoo nikupe ushauri,ni bure kabisa,sihitaji pesa kutoka kwako,bali nahitaji kiti kimoja tu,kwamba urudi tena hapa kutoa ushuhuda ili wengine nao wanufaike kupiti kwako...

Mungu ametupa akili tuitumie kutatua matatizo....matatizo hayatatuliwi kwa maombi PEKEE kwa maana hata mimi kuja hapa kukupa ushauri inawezekana ni moja ya majibu ya Mungu kuhusu hayo maombi...usidharau.
 
Kuna mzee mmoja amepona saratani ya utumbo ambayo ilikuwa kwenye early stage kwa kutumia matunda, mboga za majani na mbegu za matunda. Ila kwa kuanzia pendelea matumizi ya tangawizi kwa wingi. Mola akutie nguvu kaka.
 
Mkuu deception nakukubali sana kaka mungu akujalie maisha marefu. Umewafungua watu wengi sana akili
 
Kama unachosema ni kweli,basi nitafute nikupe ushauri utakaokuponya kabisa na uwe mmoja wa mashuhuda humu.....
Vinginevyo hao waliokwambia uende ukapige chemo au mionzi na wale wanaokutaka ufanye maombi watakuua....cancer haitibiwi kwa maombi au mionzi....kuna watu wamekariri kwenda India lakini hakuna hata mmoja aliyepina cancer kwa kwenda India lakini bado wanang'angania kwenda India....watu kama sisi tunapowaelimisha watu kuhusu mambo haya tunadharauliwa...

Sasa kama kweli unataka kupona,usidharau,njoo nikupe ushauri,ni bure kabisa,sihitaji pesa kutoka kwako,bali nahitaji kiti kimoja tu,kwamba urudi tena hapa kutoa ushuhuda ili wengine nao wanufaike kupiti kwako...

Mungu ametupa akili tuitumie kutatua matatizo....matatizo hayatatuliwi kwa maombi PEKEE kwa maana hata mimi kuja hapa kukupa ushauri inawezekana ni moja ya majibu ya Mungu kuhusu hayo maombi...usidharau.
haya mambo yalifanya steve jobs akapoteza maisha
 
Nenda tumaini hospital hapo karibia na diamond jubilee watakisaidia
 
Sawa,nikweli matibabu yake ni gharama sana , kuna nchi zinazotoa msaada wa dawa kwa wananchi wake mfano mzuri ni Kenya je hapa Tz mfumo huo pia upo ?
Niliwahi kupeleka mgonjwa hapo mwaka huu lakini ilikuwa cancer ya shingo, walituambia dose kidonge kimoja 2,000,000/= lakini wakatuambia serikali inagharamia hivyo ikawa bure
 
Mmh Huduma ya bure sijawai kusikia,zaidi ya cash & insurance kwa ugonjwa kama huo,labda uende ocean road kama wadau wengine walivyosema,alafu ukishajua ukubwa wa gharama,unaweza kujitokeza kwenye vyombo vya habari naona kama ni njia inayoweza kukukutanisa na wenye uwezo wa kuchangia matibabu yako

Mungu akutie nguvu & akujalie upone
 
haya mambo yalifanya steve jobs akapoteza maisha
Mimi nazungumzia sayansi,wewe unaleta siasa.Sayansi na siasa ni mambo mawili yanayopingana.Endelea na siasa,mimi naendelea na sayansi....watu kama ninyi itawachukuwa muda sana mpaka kuamka...

Vipi wale wanaowahi kwenda India kwa matibabu ya cancer lakini hawaponi?Hao mbona huwazungumzii?
 
Niliwahi kupeleka mgonjwa hapo mwaka huu lakini ilikuwa cancer ya shingo, walituambia dose kidonge kimoja 2,000,000/= lakini wakatuambia serikali inagharamia hivyo ikawa bure
Nikweli kabisa Kenya serikali inatoa msaada wa dawa kwa wananchi wake na ni mfumo mpana sana kwa sababu hauna magumashi yeyote yale
 
Back
Top Bottom