STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
you are lostTeyari nipo ktk tiba ya hosp tokea mwanzo wa 2014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you are lostTeyari nipo ktk tiba ya hosp tokea mwanzo wa 2014
you are lostTeyari nipo ktk tiba ya hosp tokea mwanzo wa 2014
Unashida na mgonjwa au?sina shida ya bazazi
Em nenda ndugu yangu. Mungu akafanye kitu kipya na kikuu kwenye afya yako.Nashukuru kwakweli aneniongezea imani maana niliskia kwa mtu sasa ujue ukisha kuwa na tatizo utaambiwa mengi lakini sasa lazma nikamuone huyu mzee na nitaleta mrejesho humu
Kama unachosema ni kweli,basi nitafute nikupe ushauri utakaokuponya kabisa na uwe mmoja wa mashuhuda humu.....Sure,I wil
haya mambo yalifanya steve jobs akapoteza maishaKama unachosema ni kweli,basi nitafute nikupe ushauri utakaokuponya kabisa na uwe mmoja wa mashuhuda humu.....
Vinginevyo hao waliokwambia uende ukapige chemo au mionzi na wale wanaokutaka ufanye maombi watakuua....cancer haitibiwi kwa maombi au mionzi....kuna watu wamekariri kwenda India lakini hakuna hata mmoja aliyepina cancer kwa kwenda India lakini bado wanang'angania kwenda India....watu kama sisi tunapowaelimisha watu kuhusu mambo haya tunadharauliwa...
Sasa kama kweli unataka kupona,usidharau,njoo nikupe ushauri,ni bure kabisa,sihitaji pesa kutoka kwako,bali nahitaji kiti kimoja tu,kwamba urudi tena hapa kutoa ushuhuda ili wengine nao wanufaike kupiti kwako...
Mungu ametupa akili tuitumie kutatua matatizo....matatizo hayatatuliwi kwa maombi PEKEE kwa maana hata mimi kuja hapa kukupa ushauri inawezekana ni moja ya majibu ya Mungu kuhusu hayo maombi...usidharau.
Wapo vizuri kwenye matibabu ya kansaToa maelezo kidogo mkuu
Niliwahi kupeleka mgonjwa hapo mwaka huu lakini ilikuwa cancer ya shingo, walituambia dose kidonge kimoja 2,000,000/= lakini wakatuambia serikali inagharamia hivyo ikawa bureSawa,nikweli matibabu yake ni gharama sana , kuna nchi zinazotoa msaada wa dawa kwa wananchi wake mfano mzuri ni Kenya je hapa Tz mfumo huo pia upo ?
Hapo tumaini ni madaktari walewale wa muhimbili na ocean road sema wanafanya na hapoToa maelezo kidogo mkuu
Mimi nazungumzia sayansi,wewe unaleta siasa.Sayansi na siasa ni mambo mawili yanayopingana.Endelea na siasa,mimi naendelea na sayansi....watu kama ninyi itawachukuwa muda sana mpaka kuamka...haya mambo yalifanya steve jobs akapoteza maisha
Nikweli kabisa Kenya serikali inatoa msaada wa dawa kwa wananchi wake na ni mfumo mpana sana kwa sababu hauna magumashi yeyote yaleNiliwahi kupeleka mgonjwa hapo mwaka huu lakini ilikuwa cancer ya shingo, walituambia dose kidonge kimoja 2,000,000/= lakini wakatuambia serikali inagharamia hivyo ikawa bure