Nahitaji ushauri wenu kuhusu uhusiano wangu na mke wangu

Nipe namb nitaigiza mm mganga nitakuwa namtisha atulie ila ww utakuwa unanipa siri kwamba yupo wapi ili nimuigizie zaidi kuwa ninamuona kwenye kioo changu. Kama ni muoga atatulia katika jina la Yesu. 🫡
 
kwanini unakagua simu ya mkeo.....for what? akitaka kucheat atacheat tu.....
timiza wajibu wako cheza na mtoto achana na simu ya mkeo.....wanaume tunamengi ya kufanya...
 
Mimi nilichobaini haya mambo ya ex kwa wanawake na wanaume yamekuwepo Dahari na Dahari ila kilichofanya yasilete nuksi kama wakat huu ni maendeleo ya Teknolojia ya habari (IT) ila bibi na wazazi wetu waliwamiss waliosoma nao bt hawakuwa na namna kuwafikia.
 
Ma ex ni hatari sana, nashukuru kwa mke wangu mimi ni X and Y akitaka kumkumbuka ex wake ujue ni mimi
 
Una tabia za kike.
Litakuwa dume jike hilo! Ila aendelee na huo ujinga wa kupekua simu za watu! Afande hapa ameweka wazi kabisa!
Your browser is not able to display this video.
 
We ni mwanaume mwambie ulichokutana nacho usikae na jereha. Yapo ya kuvumilia ila hatuvumilii usaliti. Wewe unahisi angekuwa yeye angekaa kimya mpaka sasa?

Kuwasiliana na ex ni hatari anatembelea muwa kama mkongojo.
Kwani akimwambia ndio ataacha??,hawezi acha ila atajificha zaidi.cha mzingi ni kuachana nae tu.
 
kua mwanaume kijana. Muoneshe bila konakona na umuulize akueleze maana ya hicho ulichokiona (hiyo account), then why ni kama anawasiliana na ex wake. Just mwambie exactly vile umejiskia baada ya kuona hicho kitu.

NOTE: Ongea as a man ukiwa unaonesha userious wako, sio kubembeleza cas atakudanganya ukionesha hauko serious.
 
Mkuu mbona hapo hakuna Ex wake?

Acha hisia hizo zitakuharibia mahudiano uliyonayo mazuri na mke wako.

Kama kuna zaidi ya hilo sawa ila kama ni hiyo seaech history tu basi achana nayo.

Hizi simu tunajifunza mambo mengi tinapokuwa faradha lakini havina maana yoyote.
 
kwanini unakagua simu ya mkeo.....for what? akitaka kucheat atacheat tu.....
timiza wajibu wako cheza na mtoto achana na simu ya mkeo.....wanaume tunamengi ya kufanya...
Utaletewa ukimwi ww,
 
tabia ya kushika shika simu ya mkeo kuna kitu ulikua unatafuta na umekipata
 
Kabla hujatibua jichunguze kwanza wewe huenda huna muda naye mpaka ana anza kutafuta makoloni ya zamani, mwanamke ni mtu wakiridhika na vitu vidogo vidogo sana, ila sasa labda baada ya ndoa Ile tension ya mwanzo umeiacha, ukirudi kazini unarudi na ofisi kabisa nikushinda ni simu weee hata hukumbuki kama kuna mtu anakusubilia wewe, angalia palipo na mpenyo ziba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…