jannelle
JF-Expert Member
- Feb 8, 2020
- 824
- 1,581
🥺 WeeMshike kwa mikono, mwangalie ndani ya macho,
Mpeleke kando Namwambie
"WEWE NI TAPELI, NIMEAMUA KUKATAA NDOA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🥺 WeeMshike kwa mikono, mwangalie ndani ya macho,
Mpeleke kando Namwambie
"WEWE NI TAPELI, NIMEAMUA KUKATAA NDOA"
Na wewe Haujaelewa mluu?
au bado na wewe unawasiliana na ex wako.
🤣🤣🤣🤣
Litakuwa dume jike hilo! Ila aendelee na huo ujinga wa kupekua simu za watu! Afande hapa ameweka wazi kabisa!Una tabia za kike.
Sasa kama ni binadamu ndiyo mwanaume uwe na tabia za kike?Kwani mwanamke si binadamu?
Hivi unajua ni mwanamama aliyetoa ile kauli? Kwani mwanamke kuwa na tabia za kiume ni dhambi?Sasa kama ni binadamu ndiyo mwanaume uwe na tabia za kike?
Kwani akimwambia ndio ataacha??,hawezi acha ila atajificha zaidi.cha mzingi ni kuachana nae tu.We ni mwanaume mwambie ulichokutana nacho usikae na jereha. Yapo ya kuvumilia ila hatuvumilii usaliti. Wewe unahisi angekuwa yeye angekaa kimya mpaka sasa?
Kuwasiliana na ex ni hatari anatembelea muwa kama mkongojo.
kua mwanaume kijana. Muoneshe bila konakona na umuulize akueleze maana ya hicho ulichokiona (hiyo account), then why ni kama anawasiliana na ex wake. Just mwambie exactly vile umejiskia baada ya kuona hicho kitu.Nina jambo zito ambalo limenifanya niwe na wasiwasi mwingi, na nataka kupata mawazo ya watu wengine ili nijue ni vipi niendelee.
Hivi karibuni, nilikuwa nikichunguza simu ya mke wangu na kugundua kwamba anayo akaunti nyingine ya TikTok ambayo haina picha wala followers. Nilichokutana nacho kwenye sehemu ya search ya akaunti hiyo kiliashiria kuwa bado anahusiana na ex wake kwa namna fulani, na hii ilinifanya niwe na maswali mengi. Hii imeleta wasiwasi kwangu na kujua kama bado anamhisi ex wake au kama kuna kitu ambacho hajaniambia.
Nashindwa kujua ni hatua gani niichukue. Nataka kujua kama ni vyema kumwambia mke wangu hili na tuzungumze, au kama inafaa kuwaachana na kutafuta mtu mwingine kwa kuwa nampenda, lakini najihisi kama sina uhakika tena na hali yetu.
Je, ni vema kumwambia mke wangu hisia zangu au ni bora nimpe uhuru ili tuendelee na maisha yetu kwa njia tofauti?
Ningependa sana kupata mawazo ya watu ambao wamepitia hali kama hii au wanaweza kutoa ushauri mzuri kuhusu namna ya kushughulikia jambo hili.
View attachment 3225775
View attachment 3225776
kwisha hii imeenda!, hii imeeendaUna tabia za kike.
Mkuu mbona hapo hakuna Ex wake?Nina jambo zito ambalo limenifanya niwe na wasiwasi mwingi, na nataka kupata mawazo ya watu wengine ili nijue ni vipi niendelee.
Hivi karibuni, nilikuwa nikichunguza simu ya mke wangu na kugundua kwamba anayo akaunti nyingine ya TikTok ambayo haina picha wala followers. Nilichokutana nacho kwenye sehemu ya search ya akaunti hiyo kiliashiria kuwa bado anahusiana na ex wake kwa namna fulani, na hii ilinifanya niwe na maswali mengi. Hii imeleta wasiwasi kwangu na kujua kama bado anamhisi ex wake au kama kuna kitu ambacho hajaniambia.
Nashindwa kujua ni hatua gani niichukue. Nataka kujua kama ni vyema kumwambia mke wangu hili na tuzungumze, au kama inafaa kuwaachana na kutafuta mtu mwingine kwa kuwa nampenda, lakini najihisi kama sina uhakika tena na hali yetu.
Je, ni vema kumwambia mke wangu hisia zangu au ni bora nimpe uhuru ili tuendelee na maisha yetu kwa njia tofauti?
Ningependa sana kupata mawazo ya watu ambao wamepitia hali kama hii au wanaweza kutoa ushauri mzuri kuhusu namna ya kushughulikia jambo hili.
View attachment 3225775
View attachment 3225776
Utaletewa ukimwi ww,kwanini unakagua simu ya mkeo.....for what? akitaka kucheat atacheat tu.....
timiza wajibu wako cheza na mtoto achana na simu ya mkeo.....wanaume tunamengi ya kufanya...
tabia ya kushika shika simu ya mkeo kuna kitu ulikua unatafuta na umekipataNina jambo zito ambalo limenifanya niwe na wasiwasi mwingi, na nataka kupata mawazo ya watu wengine ili nijue ni vipi niendelee.
Hivi karibuni, nilikuwa nikichunguza simu ya mke wangu na kugundua kwamba anayo akaunti nyingine ya TikTok ambayo haina picha wala followers. Nilichokutana nacho kwenye sehemu ya search ya akaunti hiyo kiliashiria kuwa bado anahusiana na ex wake kwa namna fulani, na hii ilinifanya niwe na maswali mengi. Hii imeleta wasiwasi kwangu na kujua kama bado anamhisi ex wake au kama kuna kitu ambacho hajaniambia.
Nashindwa kujua ni hatua gani niichukue. Nataka kujua kama ni vyema kumwambia mke wangu hili na tuzungumze, au kama inafaa kuwaachana na kutafuta mtu mwingine kwa kuwa nampenda, lakini najihisi kama sina uhakika tena na hali yetu.
Je, ni vema kumwambia mke wangu hisia zangu au ni bora nimpe uhuru ili tuendelee na maisha yetu kwa njia tofauti?
Ningependa sana kupata mawazo ya watu ambao wamepitia hali kama hii au wanaweza kutoa ushauri mzuri kuhusu namna ya kushughulikia jambo hili.
View attachment 3225775
View attachment 3225776
Hata yeye anaweza kuupata na kumpeleka mkewe, wangapi wanawapelekea wake zao!Utaletewa ukimwi ww,