Njiwa wangu
Senior Member
- Dec 5, 2020
- 146
- 289
Habari ya asubuhi wakuu,
Nina mgeni wangu week mbili zijazo anakuja kutembea naweza pata wapi Gari ya kukodisha kwa safari za mikoani. Gari itapita mikoa hii, Dar, Morogoro, Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Mara wilaya ya Tarime, Geita, Kahama,Tabora, Katavi ten unarudi dar kumbuka kwanzia Singida Gari itakuwa inafika vijijini.
Gari inayohitajika landcruicer Prado new model au Landcruicer V8. Ikiwa na dereva sawa bila dereva sawa ila kama ipo na dereva kulala kula atajua mwenyewe.
Karibu nipe bei