Nahitaji Vx V8 ya kukodi kwa safari za mikoani

Mkuu sio Kama siitaki ndugu yangu Ila mzunguko ni mrefu alafu Kuna maeneo road haiko vizuri sana kwa Gari fupi
Mkuu.
Habari.
Nimesoma na kuelewa vizuri chapisho lako.
Kiufupi,ninashughulika na udalali na uuzaji wa magari,pia ikitokea kukodisha nakodisha pia.
Magari ambayo ninayo kwa upande wangu ambayo naweza kukukodishia kama utaridhia ni NISSAN X TRAIL,WISH AU RAUM.
Sina gari la chaguo lako ila kama kuitafuta ninaweza kukutafutia.
Binafsi sina kampuni ya kukodisha magari,hivyo kama inatokea tunakubaliana ni lazima nikupeleke huko uendako,kama ulivyosema,gharama zangu binafsi ni juu yangu maana ni biashara.
KARIBU
 
Ahsante mkuu umeongea kiume,na hivi ndivyo inavyotakiwa.

Angalia kwanza aina zile za Gari nilizoweka hapo, swala la kwenda na wewe haina shida Kama wewe ni dereva Ila sio tena uwe na dereva mwingine na wewe tena uwepo
 
Kwa gari uitakayo,fika kwenye makampuni ya kukodisha magari,yapo mengi mno mkuu..
Kwa mawazo yangu ninavyofikiri,hapa wengi utakutana na sisi kama madalali,au wachache sana tutakupa vigali vyetu kama hivyo nilivyokutajia,kama kuna anayemiliki hizo uzitakazo maana yake wengi wao wapo vizuri kiuchumi hivyo matangazo kama haya hata kuyasoma wala hawayasomi, wenyewe wanasoma zile tu "UCHUMI WA TANZANIA KUKUA KWA MIONGO MIWILI MFULULIZO,SEKTA YA UWEKEZAJI KUPIGA HATUA MARA DUFU,BEI YA PEMBEJEO ZA KILIMO KWA MWAKA UJAO KUSHUKA,n.k"
 
Mkuu.
Habari.
Nimesoma na kuelewa vizuri chapisho lako.
Kiufupi,ninashughulika na udalali na uuzaji wa magari,pia ikitokea kukodisha nakodisha pia.
Magari ambayo ninayo kwa upande wangu ambayo naweza kukukodishia kama utaridhia ni NISSAN X TRAIL,WISH AU RAUM.
Sina gari la chaguo lako ila kama kuitafuta ninaweza kukutafutia.
Binafsi sina kampuni ya kukodisha magari,hivyo kama inatokea tunakubaliana ni lazima nikupeleke huko uendako,kama ulivyosema,gharama zangu binafsi ni juu yangu maana ni biashara.
KARIBU
Kwa mfano hiyo Xtrail ni new model au old na je hiyo utaratibu wake ikoje wa kukodisha
 
Ahsante mkuu umeongea kiume,na hivi ndivyo inavyotakiwa.

Angalia kwanza aina zile za Gari nilizoweka hapo, swala la kwenda na wewe haina shida Kama wewe ni dereva Ila sio tena uwe na dereva mwingine na wewe tena uwepo
Shukrani mkuu,nitakujulisha kama nitapata gari la hitaji lako.
Dereva ni mmoja tu mkuu.
 
Kwa mfano hiyo Xtrail ni new model au old na je hiyo utaratibu wake ikoje wa kukodisha
Old model mkuu.
Utaratibu upo unategemea na......
(i)Umbali wa safari. (Umeshauelezea)
(ii)Muda utakaotumika...

Hapa kwenye muda ndio sehemu inayochukua uzito sana wa safari,pia ni sehemu inayoweka bargaining zaidi maana unapokodisha gari kama ni mizunguko itachukua muda mrefu zaidi basi mnaweza mkaweka discount kubwa zaidi.
Je,unafikiri mizunguko yote hiyo utaimaliza kwa muda gani?
 
15 days haizidi labda ipungue
 
Back
Top Bottom