Nahitaji Vx V8 ya kukodi kwa safari za mikoani

Mhusika wa hii thread tuhuma hizi nineanza kuziamini mana sidhani kweli kama ulikua na nia ya dhati ya kukodisha gari au ulikua na lako lengo kihalifu, mana kama watanzania tunasaidiana pale inapobidi nilikuomba namba nikutumie picha za gari unazotaka tena za jamaa wote wako dar wanakodisha, hujajibu,nikaamua kuacha, tena gari tamu balaa nyingine ni mpya, na mtu akishaanza kuonesha sign hio najua either ni mbabaishaji au tapeli au mhalifu.
mkuu ninapokwambia ninamjua ninamaanisha , hadi kitanda alicholalia na rangi za shuka nazijua na chumba kilikua cha nani najua , mwenyeji wake wakati wa matukio hayo ya kihalifu ninamjua na namba zake za simu zote ninazo za huyo ndugu yake. Haaa haa nasubiri aje abishe nimtajie stori yote , hadi ya kukamatwa kule singida . Na mimi ndio nilimchoma huyo ndugu yake tukamteka akatupeleka Singida alikoweka gari bondi
 
Duuuuh ngoma nzito hii lol
 
Aisee duh
 
Tunaomba mod wasiufute huu uzi. Halafu alivyokuja kaja innocent kweli kuna watu wenye watu wao wana magari ya maana wangemuunganisha nae wakijua ni mtu wa maana kumbe tayari ni mtu wa matukio. Kila kitu kiwekwe wazi ili ibaki historia hapa jf unajua kabisa tunapata somo hata ukitaka kukodi gari ukija ukisearch hapa kukodi magari ukakutana na thread kama hizi unaishia kusema jf never stops to amaze people. Alamsiki
 
Back
Top Bottom