Nahitaji Vx V8 ya kukodi kwa safari za mikoani

akibisha hapa nitakupa hata namba za watu aliowapiga , namsubiri kwa hamu sana tena nina hasira nae sana huyu jamaa. Na katika hizo mikataba alikua anamtumia ndugu yake fulani wa huko singida kwao kama bondi , huyo ndg yake alikua mwalimu shule moja hapo mbezi anaitwa Y.... niendelee au nimkaushie???. Labda awe kaacha ukanjanja wake
Dah! Hatari sana.
 
Poleni , nilikua bize toka asubuhi . Naomba saa nne aje hapa nimkumbushe kesi mbili alizowapeleka jamaa zangu polisi , ya kwanza ni Verrosa na kesi ya pili ni ya harrier new model aliyoenda kuiweka bond singida . Zote alizikodi pale karibia na General tyre ya best bite pale . Akibisha nitaweka mpaka majina halisi ya wadai wake hapa na contact zao .
RRONDO JF kweli ni bahari! Duh.....
 
akibisha hapa nitakupa hata namba za watu aliowapiga , namsubiri kwa hamu sana tena nina hasira nae sana huyu jamaa. Na katika hizo mikataba alikua anamtumia ndugu yake fulani wa huko singida kwao kama bondi , huyo ndg yake alikua mwalimu shule moja hapo mbezi anaitwa Y.... niendelee au nimkaushie???. Labda awe kaacha ukanjanja wake
Duuuuh noma sana lol.
 
Poleni , nilikua bize toka asubuhi . Naomba saa nne aje hapa nimkumbushe kesi mbili alizowapeleka jamaa zangu polisi , ya kwanza ni Verrosa na kesi ya pili ni ya harrier new model aliyoenda kuiweka bond singida . Zote alizikodi pale karibia na General tyre ya best bite pale . Akibisha nitaweka mpaka majina halisi ya wadai wake hapa na contact zao .
Kumekuchaaah
 
Tena nakujua vizuri kaka, unakumbuka ulichomfanyia ndugu yangu Verrosa yake !?? Uliipiga bonge la ajali na deni juu anakudai . Unakumbuka mkataba tuliouandika siku ile baada ya ajali pale korogwe kimara?? Zile footage na maandishi ninayo yote. Unataka nilimwage na ile harrier uliokimbia nayo na kuiweka bond Singida. Acha hizo nisije kulimwaga lote hapa kaka
Kimeumana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna gari nyingi sana zenye uwezo wa V8 na zinaweza kukufikisha hiyo route yako comfortably. Tatizo umeweka options mbili tu
Ndio anazotaka kaka....
au unataka umbandike na ambazo hataki!!?
wabongo mna akili nzito sana
 
Umeshapata gari? Oops nilitaka kusema uonane na Chakubanga mavieetee. [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Back
Top Bottom