Nahitaji Vx V8 ya kukodi kwa safari za mikoani

JF imeharibika. Kuna watu wana tabia za ajabu ajabu. Biashara haiwezi kuanikwa hapa, hapa jukwaani kuna porojo,vijembe na kashfa. Biashara zinafanyika PM.

Kaka uko sahihi. Lakini ukiweka tangazo lako mtu akakuita inbox faster..unastuka! Inabidi atleast uanze kwa conversation..ukiona mtu yuko serious ndo unaomba mkutane inbox. Ila in this case, mshkaji ameweka inbox as a precondition. And guess what? Nikamwambia wewe utakuwa dalali na msaada wako utakuwa mdogo kwa jinsi ulivyo approach hili swala. It turned out, I was right....

Precondition ya biashara..you have to project confidence kwa wateja wako. Wakuamini. Na skills kama hizi hazihitaji cheti cha biashara.

Unfortunately, WaTZ wengi hili linatushinda.
 
Mkuu asilimia kubwa ya biashara zinazotangazwa humu, wanunuaji wakuu hawajibu comment hapa jukwaani wanaenda PM direct,sababu iko wazi. Hapa jukwaani ni porojo tu. Kwahio nikiona mtu anasema njoo PM huwa namuelewa kabisa hayo mengine ni matokeo ambayo hata wanaojitokeza jukwaani wanayafanya.

Nilichokiona hapa mleta mada kashindwa bei, nimemsoma anasema laki tano kasoro. Kwa watu ambao tumepitia hizi mishe za car rental kwahio gari anayoitaka hio bei laki tano kasoro ni ya kawaida kabisa.
 
Hata mimi hiyo ya 500k nimeiona nikasema..kwa 4by4 ya uhakika....he might wish as well to reconsider his options. Maybe wafanye pricing kwa kutumia milage option.
 
Habari ya asubuhi wakuu,

Nina mgeni wangu week mbili zijazo anakuja kutembea naweza pata wapi Gari ya kukodisha kwa safari za mikoani. Gari itapita mikoa hii, Dar, Morogoro, Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Mara wilaya ya Tarime, Geita, Kahama,Tabora, Katavi ten unarudi dar kumbuka kwanzia Singida Gari itakuwa inafika vijijini.

Gari inayohitajika landcruicer Prado new model au Landcruicer V8. Ikiwa na dereva sawa bila dereva sawa ila kama ipo na dereva kulala kula atajua mwenyewe.

Karibu nipe bei
Watafute hawa jamaa Xpress Rent A Car | Self Drive Car Rental in Dar es Salaam | Tanzania Hire
Wana gari nzuri na customer care iko poa sana, ukipata shida msaada wa haraka sana utapata.
 
Back
Top Bottom