Nahitaji Vx V8 ya kukodi kwa safari za mikoani

Nahitaji Vx V8 ya kukodi kwa safari za mikoani

Mkoa uliopo hamna kampun za kukodisha magari? Umezunguka na kutafuta kote hamna hapo mkoa wako? And by the way ungeweka jina la mkoa uliopo inakua rahisi waliopo hapo wakusaidie, jamii forums ni mtandao mkubwa una watu kila mkoa
Mgeni wangu unashukia dar na ataondokea dar so Bora ndio maana natafuta Gari ya dar
 
Hawa vijana wetu taabu sana. Alivyonijibu hapo juu imebidi nikae kimya..ila it was already a red flag!

Alikujibu kama mtu wa maana kumbe kikojozi tu, watu wengi wanaokimbilia kukuita inbox ni madalali na hua wana maneno mengi kwani number of passangers ukiitaja hadharani kosa ni nini? Yaani watu hua hawaelewi uwazi unavutia watu wengi kufanya biashara na wewe sawa na mtu anatangaza bidhaa yake halafu haweki namba ya simu wala bei ya bidhaa yake ajabu kwelikweli
 
Kuna gari nyingi sana zenye uwezo wa V8 na zinaweza kukufikisha hiyo route yako comfortably. Tatizo umeweka options mbili tu
 
Mkuu hata Kama ni wewe mtu akwambie karibu ya laki 5 kasoro per day utaweza kweli
Kwa ninavyofahamu, kampuni nyingi zinachaji kwa kilometa gari itakazotembea. Nadhani kunakuwa na down payment, then kama itapungua ama itazidi mnaliweka sawa gari ikimaliza mizunguko.
 
Kwa ninavyofahamu, kampuni nyingi zinachaji kwa kilometa gari itakazotembea. Nadhani kunakuwa na down payment, then kama itapungua ama itazidi mnaliweka sawa gari ikimaliza mizunguko.
Ok
 
waTz tujifunze kuwa transparent kwenye biashara zetu. jamaa ameweka tangazo lake hapa..wewe unamuita inbox. If you trust your business and capability to deliver anachokitaka, weka offer yako hapa. Akiwa interested ataomba akufuate inbox myajenge....
Otherwise, atakustukia kwamba huna nia njema au unafanya udalali...
JF imeharibika. Kuna watu wana tabia za ajabu ajabu. Biashara haiwezi kuanikwa hapa, hapa jukwaani kuna porojo,vijembe na kashfa. Biashara zinafanyika PM.
 
Mkuu hata Kama ni wewe mtu akwambie karibu ya laki 5 kasoro per day utaweza kweli
Ndugu kama unataka kukodi gari jipange. Kwenye kampuni ndio usisogee kabisa. Prado za kawaida sana si chini ya $100 na ukija kwenye hizo V8 sio chini ya $150 per day. Na unapewa km 100 kwa siku kila km inayozidi hizo 100 unalipia $ kadhaa. Kuna bei ya gari na dereva na bei ya gari peke yake.
 
Swala la fedha sio shida shida kubwa ni janja janja sana ndio zinakuepo
 
Back
Top Bottom