zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ulisomea wapi hayo masuala ya kuunda fm transmitter maana najua kwa Sheria zetu ukidakwa basi jela ile pale wewe uliwezaje miezi 4 unaruka hewani bila kudakwa?Amina
Kuna jamaa aliruka maeneo ya 'Mabibo' km sijakumbuka vizuri nikosoe alidakwa ndio ukawa mwisho wake mpaka leo, ingawa yeye alikua anaenda mbali zaidi kuna kitu alikua anakifanya na kuna interview moja alielezea kila kitu tofauti kabisa na jinsi wewe ulivyoelezea
Maana hata TANESCO wakigundua unatengeneza umeme kwa kutumia biogas ya mavi ni kesi ingawa ni teknolojia ambayo inawezekana
Kingine hio online radio ndio zile zinazotolewa online free? Hio TV online live session unazungumzia YouTube live na Facebook live? Kuna maelezo mengi mengi mengi umeyaficha ni ngumu kumshawishi muwekezaji