Hero Radio
Member
- Jun 30, 2021
- 77
- 92
- Thread starter
- #61
Hongera.
Mimi sasa sina financial support Ila nahitaji kuwa nakutangazia bure
Asante sana na karibu tupige kazi.Hongera Sana nimependa Sana unachokifanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera.
Mimi sasa sina financial support Ila nahitaji kuwa nakutangazia bure
Asante sana na karibu tupige kazi.Hongera Sana nimependa Sana unachokifanya.
Na iwe hivyo mkuu, Shukrani.Tunakichafuaaaaaa.... Hongera mkuu, hopefully utapata watu sahihi wakusapoti ufanyacho.
Mkuu inakuaje ngoja nijipe kamuda nikusikilize na content zako then ntakucheki inbox, mimi ni mtu wa media (Both online na main stream)Na iwe hivyo mkuu, Shukrani.
Oh! Afadhali mkuu.Mkuu inakuaje ngoja nijipe kamuda nikusikilize na content zako then ntakucheki inbox, mimi ni mtu wa media (Both online na main stream)
Wazo chanya, Yaani vijana wenye mawazo kama Yako ni wachacge na Cha ajabu mnapuuzwa by the way Sina pesa ya kuwekeza ila Kwa 7bu jf is the home of great thinkers, naamini hawatakuachaHabari wakuu!
Suala ni hili wakuu,
Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ).
Pia saivi niko mbioni kuanzisha online live tv ambayo nitaiweka kwenye ving'amuzi mbalimbali kama azam, zuku, dstv pamoja na cables za mikoa mbalimbali. Hivyo itatazamwa kama vile channel ya sinema zetu au azam two au itv kupitia visimbuzi hivyo.
Hii online tv ina uwezo wa kurusha matangazo ya live (on time) pamoja na recorded contents kama tu vituo vingine vya runinga bila minara, madish bali kwa computer zenye internet access kwa ubora ule ule.
Hii itasaidia kuingiza pesa nyingi sana pamoja na ajira nyingi iwapo wazo litafanikiwa.
Changamoto ni pesa za uwekezaji katika wazo hili.
Toka nijitambue nimetokea kupenda media na naamini kuwa maisha yangu yapo katika hii tasnia (nitatobolea huku) lakini misingi ya kiuchumi haijawa supportive kwa upande wangu.
Nimewahi pia kuunda fm transmitter na kurusha matangazo ndani ya kata 1 kwa miezi minne lakini nilisitisha maana nilitakiwa kusafiri kwa muda mrefu.
Nakuomba katika nafasi yako unisaidie kufanikisha haya maono kwa namna moja au nyingine.
Hii media itakuwa kubwa sanaaaa!!.
Point Kuu: Nakaribisha wawekezaji kwa hili wazo la tv na radio station yangu. Mashirika, taasisi, makampuni, watu binafsi, nk karibuni mezani tufanye kazi.
Pia nakukaribisha wewe kijana/binti unayependa media, uliye tayari kufanya kazi nami.
Mrejesho:
+255622 000 802 WhatsApp
heromediatanzania@gmail.com
Asante.
ALECO,
HERO RADIO
Sikiliza Radio: 👉HAPA
Na iwe hivyo maanaaaa..!!Wazo chanya, Yaani vijana wenye mawazo kama Yako ni wachacge na Cha ajabu mnapuuzwa by the way Sina pesa ya kuwekeza ila Kwa 7bu jf is the home of great thinkers, naamini hawatakuacha
Kama unaliamini hilo jambo, wekeza mwenyewe kwamba. Tatizo mnataka kila kitu muanzishiwe. Anza kitu hata kama ni kidogo kumotisha wale unaowalenga au kuwashawishi. Ni ushauri tu.Habari wakuu!
Suala ni hili wakuu,
Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ).
Pia saivi niko mbioni kuanzisha online live tv ambayo nitaiweka kwenye ving'amuzi mbalimbali kama azam, zuku, dstv pamoja na cables za mikoa mbalimbali. Hivyo itatazamwa kama vile channel ya sinema zetu au azam two au itv kupitia visimbuzi hivyo.
Hii online tv ina uwezo wa kurusha matangazo ya live (on time) pamoja na recorded contents kama tu vituo vingine vya runinga bila minara, madish bali kwa computer zenye internet access kwa ubora ule ule.
Hii itasaidia kuingiza pesa nyingi sana pamoja na ajira nyingi iwapo wazo litafanikiwa.
Changamoto ni pesa za uwekezaji katika wazo hili.
Toka nijitambue nimetokea kupenda media na naamini kuwa maisha yangu yapo katika hii tasnia (nitatobolea huku) lakini misingi ya kiuchumi haijawa supportive kwa upande wangu.
Nimewahi pia kuunda fm transmitter na kurusha matangazo ndani ya kata 1 kwa miezi minne lakini nilisitisha maana nilitakiwa kusafiri kwa muda mrefu.
Nakuomba katika nafasi yako unisaidie kufanikisha haya maono kwa namna moja au nyingine.
Hii media itakuwa kubwa sanaaaa!!.
Point Kuu: Nakaribisha wawekezaji kwa hili wazo la tv na radio station yangu. Mashirika, taasisi, makampuni, watu binafsi, nk karibuni mezani tufanye kazi.
Pia nakukaribisha wewe kijana/binti unayependa media, uliye tayari kufanya kazi nami.
Mrejesho:
+255622 000 802 WhatsApp
heromediatanzania@gmail.com
Asante.
ALECO,
HERO RADIO
Sikiliza Radio: 👉HAPA
Asante kwa ushauri.Kama unaliamini hilo jambo, wekeza mwenyewe kwamba. Tatizo mnataka kila kitu muanzishiwe. Anza kitu hata kama ni kidogo kumotisha wale unaowalenga au kuwashawishi. Ni ushauri tu.
MUNGU asaidie mkuu.Hii nchi yetu ni kiboko asee hawataki mabadiliko kabisa, TCRA watakuwa kikwazo kikubwa kwa huyu jamaa ingawa kuna sheria na miongozo.
Nikiwaza internet bundles ndo nachoka kabisa, maana pia internet ikiwa cheap listeners wanakuwa wengi.
Hii nchi yetu ni kiboko asee hawataki mabadiliko kabisa, TCRA watakuwa kikwazo kikubwa kwa huyu jamaa ingawa kuna sheria na miongozo.
Nikiwaza internet bundles ndo nachoka kabisa, maana pia internet ikiwa cheap listeners wanakuwa wengi.
Kuanza nimeanza na ninaendelea mkuu. Ila kwa ufanisi zaidi uwekezaji unahitajika mkuu, watu tunatofautiana. Hii project italipa sana na itazalisha ajira ni nyingi.Kama unaliamini hilo jambo, wekeza mwenyewe kwamba. Tatizo mnataka kila kitu muanzishiwe. Anza kitu hata kama ni kidogo kumotisha wale unaowalenga au kuwashawishi. Ni ushauri tu.
Ulipaswa kuifanya hilo jambo la kwanza kueleza ili kuvutia watarajiwa ambao kama mimi wangeona kuwa umeshaanza na unajua ufanyacho.Kuanza nimeanza na ninaendelea mkuu. Ila kwa ufanisi zaidi uwekezaji unahitajika mkuu, watu tunatofautiana. Hii project italipa sana na itazalisha ajira ni nyingi.
👆Habari wakuu!
Suala ni hili wakuu,
Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ).
Pia saivi niko mbioni kuanzisha online live tv ambayo nitaiweka kwenye ving'amuzi mbalimbali kama azam, zuku, dstv pamoja na cables za mikoa mbalimbali. Hivyo itatazamwa kama vile channel ya sinema zetu au azam two au itv kupitia visimbuzi hivyo.
Sawa MkuuUlipaswa kuifanya hilo jambo la kwanza kueleza ili kuvutia watarajiwa ambao kama mimi wangeona kuwa umeshaanza na unajua ufanyacho.
Ulipaswa kuifanya hilo jambo la kwanza kueleza ili kuvutia watarajiwa ambao kama mimi wangeona kuwa umeshaanza na unajua ufanyacho.
Pongezi sana, nimeisikiliza iko vizuri. Nimeisikiliza kwa 'online', je kwa mwenye radio ya kawaida anaweza kuipata bila internet? Unataka muwekezaji awe na mtaji kiasi gani? Je, umeshaomba leseni ya kurusha radio yako?
Bado, I hope nikifanikiwa kupata mdhamini, nitakamilisha soon. Tena nitakamilisha kama kampuni ambayo ndani yake kutakuwa na radio, tv na masuala mengine (hasa kuhusu media).
Je, umeshaomba leseni ya kurusha radio yako?