Nahitaji wawekezaji kwa wazo langu

Turudi pale kwenye fm transmitter uliundaje ukajitengenezea frequency zako na ilikuaje ukaachana na masuala ya frequency nini kiliku-discourage?
 
Hongera sana. Ongeza jitihada, utatoboa tu. Mungu akusimamie
 
Saiv kuna Pastor wa USA ana kipindi jumatano na Jumapili saa 12 - 2 Asubuhi. So hata ukiwa mbali unaweza kuhost kipindi.
Mkuu siwezi judge hustle zako kwa sababu sizielewi kwa sababu hata Mimi kuna watu hawanielewi

Lakini ningekuomba uangalie online radio zilipo bongo maana zipo lakini nyingi zinapumulia machine. Lakini pia angalia numbers kwa hizi radio au TV kubwa kama ITV, CLOUDS, EATV, CROWN zinapoenda online, wanapata viewers wangapi?.....

Angalia online podcast ambazo nyingi ni recorded kama msasa online, salama Na, pastor tony... Angalia pia performance yake kwenye platforms tofauti

Kumbuka zote hizi ni free lakini wewe umekuja na njia ya kulipia na unaona reaction ni nzuri. Ila ningekuomba upitie hizi categories taratibu, ukipata majibu yake naamini itakusaidia. All the best
 
Naji funza hapa.
 
Sawa, Shukrani mkuu.
 
Mie nakuomba komaa ifikie wakati watu watakuwa wanakubembeleza kuwa naomba tuwekeze pamoja ama naomba shares kadhaa. Kuna jamaa alikomaa shule ikawika watu wanamletea hata 400M wanamwambia chukua hizi upanue shule anakataa
 
Mie nakuomba komaa ifikie wakati watu watakuwa wanakubembeleza kuwa naomba tuwekeze pamoja ama naomba shares kadhaa. Kuna jamaa alikomaa shule ikawika watu wanamletea hata 400M wanamwambia chukua hizi upanue shule anakataa
Asante mkuu.
 
Hongera.

Mimi sasa sina financial support Ila nahitaji kuwa nakutangazia bure.

Kipindi cha Madini kuwajenga watu akili katika mahusiano na maisha generally.

Najua tukiwa na vipindi vya michezo , maisha na mahusiano tunaweza kuongeza listeners .


Hongera Sana nimependa Sana unachokifanya.
 
Wasije wakaingilia kati tu wale jamaa wa una leseni ya mamlaka ya mapato una leseni ya biashara una leseni ya nini sijui bodi ya utangazaji habari na mawasiliano una vibari TCRA una certificate ya utangazaji, shule ulienda kusomea wapi uandishi wa habari na utangazaji? Empty talent inauliwa mchana kweupe character assassin hawakosekani hata Serikalini
 


Nafikiri Kijana Kama huyu anahitaji support maana akitoboa atatoa Ajira kwa vijana wengi so binafsi wasimzuie Ila asapotiwe zaidi maana ni hazina Kwa Taifa.
 
Nafikiri Kijana Kama huyu anahitaji support maana akitoboa atatoa Ajira kwa vijana wengi so binafsi wasimzuie Ila asapotiwe zaidi maana ni hazina Kwa Taifa.
Sasa Serikali yako hailijui hilo hivi unamkumbuka yule jamaa alianzisha uzi humu kuomba support kuna kitu ilibidi afanye kwenye masuala ya mawasiliano alitaka kuanzisha free WiFi nahisi kwa Dar ila alipoenda kuwaelezea TCRA walimwambia kuna gharama ya usajiri wa hio huduma anatakiwa alipie zaidi ya million 20 usajiri tu km sijasahau na kukosea na jamaa aliishia kuja JF kujielezea ila sijui km alitoboa, sasa nani anampa support your government is sleeping over there na ukienda kuomba support hupewi support mpaka utoe hela you see?
 
Daaah 😢😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…