Nahitaji wawekezaji kwa wazo langu

Wewe ndiyo ulianzishaga radio Ilemi pale mapelele.?
 
Hongera kwa kazi ulioifanya mpaka sasa.
Naomba kuuliza haya.

1 ni njia gani utatumia ku monetize hii radio?

Nimeona unasema king'amuzi. Ila kwa ving'amuzi mpak ufikie hiyo level ya kuiweka radio yko kweny decorder zo ujue radio yako inasikilizwa sana na wameona impact ndo mtaanza kuongelea mabo ya malipo tofauti na hpo itakua kama Free to air radio

2 najua ndo mwanzo. Ila unaweza kutoa analytics au namba za wasikilizaji wako wanatokea eneo gani na wapo active muda gani

UNgejikita kwenye media upande wa youtube zaide ili upate wafuasi na presence kisha ndo uwahamishie kwenye uo upande wa online radio
Naona numners za online radio bdo ni chache bongo
 
Namba ya wasikilizaji toka tar 1 January
 

Attachments

  • Screenshot_20250129_115811_Chrome.jpg
    133.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250129_115631_Chrome.jpg
    186 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250129_115713_Chrome.jpg
    123.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250129_115706_Chrome.jpg
    128.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250129_115654_Chrome.jpg
    129.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250129_115646_Chrome.jpg
    130.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250129_115728_Chrome.jpg
    128 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250129_115720_Chrome.jpg
    121.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250129_115734_Chrome.jpg
    130.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250129_115749_Chrome.jpg
    131.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250129_115806_Chrome.jpg
    126.9 KB · Views: 3
Issue ya kuweka kwenye ving'amuzi ni kwa ajili ya online live tv, nitailink na ving'amuzi hivyo itaonekena tu kama channels nyingine zinavyoonekana. Itaweza kurusha live and recorded contents kama vituo vingine.
 
Imagine una tv station yako ambayo inaonekana kwa Azam, Startimes, Zuku decoders na contents zako ziko vizuri! Utashindwaje kumake pesa mkuu!!

Utofauti pekee na tv stations nyingine ni kuwa hii itakuwa inaruka toka online/ kupitia mtandao. Hivyo unaweza itazama kupitia ving'amuzi itamowekwa pia kupitia link yake tu. Tena kwa ubora ule ule.

Asante.
 

Kuna redio za serikali zinazo pata ruzuku na wafanyakaz wake kulipwa na serikal na hizi redio private ambazo zinajiendesha kutokana na mradi wenyew na wazabuni/ wawekezaji



umejipangaje kutengeneza pesa kupitia rafio yako? Kuna njia nyingne?
Ukiachana na ishu ya kuingiza redio kwenye king'amuzi
 
Mkuu labda ungefafanua zaidi kwa mwekezaji kuhusu yafuatayo.

Lengo kuu la media, je ni habari, burudani, elimu, n.k.

Target market ni watu wa aina gani.

Mtapataje mapato? matangazo? ufadhili?

Unahitaji vifaa gani kukua na kuwa available muda wote

Umeandaa mfumo upi wa marketing

Kuirasmisha media

Nje ya topic, hizi rangi ulizoweka zinaumiza macho chagua rangi za kawaida black.
 

Nimeandaa business proposal inayoeleza vizuri sana mkuu.
 

Attachments

  • IMG_6219.JPG
    322.3 KB · Views: 2

Karibu,
Naomba tuwasiliane tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…