Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Mkuu security kwa maana ya kwamba watu wanaweza kuitoa online.Kaka security ya nini?
Website ya portfolio tu na reviews.
Hakuna payment yeyote hapo itafanyika..
Wateja ninao,baada ya kufanya kazi na upload picha then nawa-link wateja wakawache reviews uko.
Nunua joomla template zinatumiwa hata na professional web master ufanye mwenyewe utaokoa hiyo pesa yakoKaka security ya nini?
Website ya portfolio tu na reviews.
Hakuna payment yeyote hapo itafanyika..
Wateja ninao,baada ya kufanya kazi na upload picha then nawa-link wateja wakawache reviews uko.
Gharama za website inategemeana na requrements zako, sasa unawezapata user generated website kama jf kwa hiyo 2.2m kweli? Au unaweza pata E-commerce web kama kupatana kwa 2m?Vijana wa humu ni wezi sana, website ya 2.2 M bongo? Acheni ujinga mtaendelea kufaa njaa
Shida ya hao wateja wa laki hao ndo wale wanaanzaga ku request customizations mara rangi sijaipenda mara logo sio hiyo, mara ....100k unapata website ya wordpress + Domain + Hosting assume unatumia free theme, kama unatumia theme ya kulipia inaweza fika hadi 200k, kwa themes za kulipia kama una ujuzi kidogo unaweza fanya mwenyewe, nyingi ni drag and drop tu.
Mkuu unalipa kutokana na unachihitaji, hata hizo logo kama mtu anatumia pre made template unaweza ipata kwa Dola 1 tu ama hata bure. Kama mtu mwenyewe ameridhika sioni tatizo.Shida ya hao wateja wa laki hao ndo wale wanaanzaga ku request customizations mara rangi sijaipenda mara logo sio hiyo, mara ....
Ndo mana kwenye kutengeneza website mtu anadesign mockups kadhaa unachagua anaanza kazi kama ni ya theme anatafuta theme kama ya coding from scratch anaanza ku code.
Mi sishauri mtu hata logo tu amtengenezee kwa laki mana ni kuzarau vipaji vya watu.
Binafsi mtu akinambia logo atanitengenezea below laki naachana nae mana najua hana artistic skills.
Labda akishapata huyo wa kufanya kwa laki alete ushuhuda huku kwenye thread hii mana yawezekana kuna watu wapo too desperate.Mkuu unalipa kutokana na unachihitaji, hata hizo logo kama mtu anatumia pre made template unaweza ipata kwa Dola 1 tu ama hata bure. Kama mtu mwenyewe ameridhika sioni tatizo.
Jamaa anataka tu webiste ya kuhost picha za harusi na review system, simple wordpress theme inakamilisha hii kazi ndani ya dakika kadhaa.
Moja kati ya watu walionielewa vyema sana.Mkuu unalipa kutokana na unachihitaji, hata hizo logo kama mtu anatumia pre made template unaweza ipata kwa Dola 1 tu ama hata bure. Kama mtu mwenyewe ameridhika sioni tatizo.
Jamaa anataka tu webiste ya kuhost picha za harusi na review system, simple wordpress theme inakamilisha hii kazi ndani ya dakika kadhaa.
Mkuu embu twende kwa pamoja, tuone gharama zile za lazima ili kupata website inayofanya kazi.Mkuu unalipa kutokana na unachihitaji, hata hizo logo kama mtu anatumia pre made template unaweza ipata kwa Dola 1 tu ama hata bure. Kama mtu mwenyewe ameridhika sioni tatizo.
Jamaa anataka tu webiste ya kuhost picha za harusi na review system, simple wordpress theme inakamilisha hii kazi ndani ya dakika kadhaa.
Kwa first year kama unatumia seli around $13-$25 unapata Domain na Hosting, kuanzia Mwaka wa pili Around $36 ku renew na hapa Na assume ni mtu kama mimi ambaye sifanyi biashara.Mkuu embu twende kwa pamoja, tuone gharama zile za lazima ili kupata website inayofanya kazi.
Domain (.co.tz): 23k - 25k
Hosting (Namecheap, nadhani hawa ndo wana bei ndogo na wako na service nzuri atleast): 53k
Hapo tayari ni 76k...
Inabaki 24k
Unachukua theme ya bure, tuseme Astra then unaanza ku customize kwa mahitaji amayotaka (wedding photos + reviews system) - Je hii kazi ni ya 24k kweli???
Kwa hiyo laki, akifanya mwenyewe inatosha ila sio kumpa mtu akufanyie na domain+hosting
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani na unaona kakuelewa? Kweli hii nchi elimu sifuri.Moja kati ya watu walionielewa vyema sana.
Sasa ukishatoa $25 inabaki shilingi ngapi? Au kazi unafanya bureKwa first year kama unatumia seli around $13-$25 unapata Domain na Hosting, kuanzia Mwaka wa pili Around $36 ku renew na hapa Na assume ni mtu kama mimi ambaye sifanyi biashara.
Kwa wazoefu wanakuwa na reseller plans ambazo anaweza host hata website 100 kwa bei ile ile ananunua tu domain.
Cha muhimu kwenye cheap hosting ni kufanya tu Backup mara kwa mara maana hawakawii kufilisika.
Mzee mbona una makasiriko sana...Yaani na unaona kakuelewa? Kweli hii nchi elimu sifuri.
Just think:
1. Cheapest hosting: 55,000 mwaka wa kwanza
2. Domain name .co.tz 25,000 ukitaka .com ni 35,000
3. Website lazima iwe na logo so tuasume yeye sio graphic designer atamlipa wale desperate logo makers 20,000
1+2+3 = 100,000 - 110,000.
Bado unabishania laki. Nahisi something is wrong with this country. Watu wanaweza bishania ujinga na wakautetea kwa nguvu kubwa sana kwa kukaza shingo.
Endelea kuwanyonya vijana. Ningekuwa kwenye hiyo sector nahisi ningeweza wasaidia vijana wajitambue waache huu ujinga wa kutumika kama cheap labour.
Kwamba 100,000-$25 ni bure? Hivi site ya Picha ina kazi gani mkuu? Tena personal sio hata ambayo user ana upload?
MY THEME:Mzee mbona una makasiriko sana...
Hata sisi tuna maneno mabaya pia,usijifiche nyuma ya keyboard ukajiona mjuaji...
We ni msomi ni sawa,unaweza kutuelimisha sisi vilaza bila kutumia maneno magum ya kukaraisha..
Unaweza kuni attack mim binafsi na sio nchi nzima?
Kwanza kabisa sidhani kama kuna provider walio stable wanatoa domain+ hosting kwa $25Kwamba 100,000-$25 ni bure? Hivi site ya Picha ina kazi gani mkuu? Tena personal sio hata ambayo user ana upload?
Chief-Mkwawa kwa status ulojijengea JF nadhani bora ungeachana na hii mada aisee. Kwamba ndo mtu atengeneze kwa 40k installations, customizations, graphics (logo, etc).Kwamba 100,000-$25 ni bure? Hivi site ya Picha ina kazi gani mkuu? Tena personal sio hata ambayo user ana upload?
mteja yeyote akishaweka neno simple kwenye maelezo yake, kimbia, huyo ni mnyonyajiChief-Mkwawa kwa status ulojijengea JF nadhani bora ungeachana na hii mada aisee. Kwamba ndo mtu atengeneze kwa 40k installations, customizations, graphics (logo, etc).
Watu wanajaziwa fomu na pasports or visa pale immigrations wanalipa above 60k just online form kwa mtu wa stationery. Leo hii ukamlipe dogo eti ainstall wp, apandishe theme, a customise afu umletee zile swaga rangii hii dah labda ungeweka ingine. Mara hiyo logo hapo haijakaa poa.
Ndo mana kumbe vijana wengi wa IT bongo wanakaa stationery wanaona bora ale hela ya kuchapa makaratasi na kujazia watu forms kuliko kuhangaika na profession ambayo watu hawaiheshimu.