Nahitaji website kwa 100k

Nahitaji website kwa 100k

Kaka security ya nini?
Website ya portfolio tu na reviews.
Hakuna payment yeyote hapo itafanyika..
Wateja ninao,baada ya kufanya kazi na upload picha then nawa-link wateja wakawache reviews uko.
Mkuu security kwa maana ya kwamba watu wanaweza kuitoa online.
Online kuna malicious code zimesha hostiwa na hackers zikikutana na site haina security inakuwa offline
 
Kaka security ya nini?
Website ya portfolio tu na reviews.
Hakuna payment yeyote hapo itafanyika..
Wateja ninao,baada ya kufanya kazi na upload picha then nawa-link wateja wakawache reviews uko.
Nunua joomla template zinatumiwa hata na professional web master ufanye mwenyewe utaokoa hiyo pesa yako
 
100k unapata website ya wordpress + Domain + Hosting assume unatumia free theme, kama unatumia theme ya kulipia inaweza fika hadi 200k, kwa themes za kulipia kama una ujuzi kidogo unaweza fanya mwenyewe, nyingi ni drag and drop tu.
Shida ya hao wateja wa laki hao ndo wale wanaanzaga ku request customizations mara rangi sijaipenda mara logo sio hiyo, mara ....

Ndo mana kwenye kutengeneza website mtu anadesign mockups kadhaa unachagua anaanza kazi kama ni ya theme anatafuta theme kama ya coding from scratch anaanza ku code.

Mi sishauri mtu hata logo tu amtengenezee kwa laki mana ni kuzarau vipaji vya watu.

Binafsi mtu akinambia logo atanitengenezea below laki naachana nae mana najua hana artistic skills.
 
Baada ya kupitia comments humu nimekuja kugundua devs wengi huku wana dharirisha taaluma yao au huenda ni njaa tu inamfanya mtu kujishusha thamani kama sio kwa anachokifanya..... Ifikie hatua muache kutumika kwa bei nafuu kiasi hicho muwe na misingi yenu ya kazi vinginevyo mtachelewa sana kufika mbali kwa kukubali kutumiKa cheaply.

100k hii ni hela ya bundle kwa devs kama sio hela ya popcorn na juice pembeni ukiwa na computer yako unachapa CODES kwa umakini mkubwa sio kulia lia njaa kisa kutengeneza website ya 100k.
 
Shida ya hao wateja wa laki hao ndo wale wanaanzaga ku request customizations mara rangi sijaipenda mara logo sio hiyo, mara ....

Ndo mana kwenye kutengeneza website mtu anadesign mockups kadhaa unachagua anaanza kazi kama ni ya theme anatafuta theme kama ya coding from scratch anaanza ku code.

Mi sishauri mtu hata logo tu amtengenezee kwa laki mana ni kuzarau vipaji vya watu.

Binafsi mtu akinambia logo atanitengenezea below laki naachana nae mana najua hana artistic skills.
Mkuu unalipa kutokana na unachihitaji, hata hizo logo kama mtu anatumia pre made template unaweza ipata kwa Dola 1 tu ama hata bure. Kama mtu mwenyewe ameridhika sioni tatizo.

Jamaa anataka tu webiste ya kuhost picha za harusi na review system, simple wordpress theme inakamilisha hii kazi ndani ya dakika kadhaa.
 
Labda akishapata huyo wa kufanya kwa laki alete ushuhuda huku kwenye thread hii mana yawezekana kuna watu wapo too desperate.

Kuna siku nilikuwa kwenye room ya clubhouse ambayo kila mtu anaeleza anachofanya na anapokwama na nini asaidiwe. Kuna dogo eti akajitangaza anatengeneza logo kwa 5k.

Watu wengi walishangaa mana ile room huwa ina diaspora pia. So kitu watu walishauri ni kwamba charge the right price bila kujali upo desperate kiasi gani.

Hii issue pia naiona sana wakati wa kuajiri. Mtu kweli anataka position ya marketing executive na anakwambia any salary is okay. Unamuuliza hata laki3 sawa anakwambia yes haina shida.

Tuwafundishe vijana kujitambua aisee na ukitoboa pay someone the right price. Kitu kitakachokuja kukuletea mafanikio ya muda mrefu huwezi lipia ela ya kuzunguushia bia na mbuzi weekend na washkaji eti ikawa pesa halali kwa kazi yake. Tuache kunyonya wenye shida.

Mtu ana bargain kwa muuza mboga ama muosha gari to the maximum then anaenda kuiacha pesa ile ile kwa muhudumu wa bar. AFRICANS [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mkuu unalipa kutokana na unachihitaji, hata hizo logo kama mtu anatumia pre made template unaweza ipata kwa Dola 1 tu ama hata bure. Kama mtu mwenyewe ameridhika sioni tatizo.

Jamaa anataka tu webiste ya kuhost picha za harusi na review system, simple wordpress theme inakamilisha hii kazi ndani ya dakika kadhaa.
Moja kati ya watu walionielewa vyema sana.
 
Mkuu embu twende kwa pamoja, tuone gharama zile za lazima ili kupata website inayofanya kazi.

Domain (.co.tz): 23k - 25k

Hosting (Namecheap, nadhani hawa ndo wana bei ndogo na wako na service nzuri atleast): 53k

Hapo tayari ni 76k...

Inabaki 24k

Unachukua theme ya bure, tuseme Astra then unaanza ku customize kwa mahitaji amayotaka (wedding photos + reviews system) - Je hii kazi ni ya 24k kweli???

Kwa hiyo laki, akifanya mwenyewe inatosha ila sio kumpa mtu akufanyie na domain+hosting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa first year kama unatumia seli around $13-$25 unapata Domain na Hosting, kuanzia Mwaka wa pili Around $36 ku renew na hapa Na assume ni mtu kama mimi ambaye sifanyi biashara.

Kwa wazoefu wanakuwa na reseller plans ambazo anaweza host hata website 100 kwa bei ile ile ananunua tu domain.

Cha muhimu kwenye cheap hosting ni kufanya tu Backup mara kwa mara maana hawakawii kufilisika.
 
Moja kati ya watu walionielewa vyema sana.
Yaani na unaona kakuelewa? Kweli hii nchi elimu sifuri.

Just think:
1. Cheapest hosting: 55,000 mwaka wa kwanza
2. Domain name .co.tz 25,000 ukitaka .com ni 35,000
3. Website lazima iwe na logo so tuasume yeye sio graphic designer atamlipa wale desperate logo makers 20,000

1+2+3 = 100,000 - 110,000.

Bado unabishania laki. Nahisi something is wrong with this country. Watu wanaweza bishania ujinga na wakautetea kwa nguvu kubwa sana kwa kukaza shingo.

Endelea kuwanyonya vijana. Ningekuwa kwenye hiyo sector nahisi ningeweza wasaidia vijana wajitambue waache huu ujinga wa kutumika kama cheap labour.
 
Kwa first year kama unatumia seli around $13-$25 unapata Domain na Hosting, kuanzia Mwaka wa pili Around $36 ku renew na hapa Na assume ni mtu kama mimi ambaye sifanyi biashara.

Kwa wazoefu wanakuwa na reseller plans ambazo anaweza host hata website 100 kwa bei ile ile ananunua tu domain.

Cha muhimu kwenye cheap hosting ni kufanya tu Backup mara kwa mara maana hawakawii kufilisika.
Sasa ukishatoa $25 inabaki shilingi ngapi? Au kazi unafanya bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani na unaona kakuelewa? Kweli hii nchi elimu sifuri.

Just think:
1. Cheapest hosting: 55,000 mwaka wa kwanza
2. Domain name .co.tz 25,000 ukitaka .com ni 35,000
3. Website lazima iwe na logo so tuasume yeye sio graphic designer atamlipa wale desperate logo makers 20,000

1+2+3 = 100,000 - 110,000.

Bado unabishania laki. Nahisi something is wrong with this country. Watu wanaweza bishania ujinga na wakautetea kwa nguvu kubwa sana kwa kukaza shingo.

Endelea kuwanyonya vijana. Ningekuwa kwenye hiyo sector nahisi ningeweza wasaidia vijana wajitambue waache huu ujinga wa kutumika kama cheap labour.
Mzee mbona una makasiriko sana...
Hata sisi tuna maneno mabaya pia,usijifiche nyuma ya keyboard ukajiona mjuaji...

We ni msomi ni sawa,unaweza kutuelimisha sisi vilaza bila kutumia maneno magum ya kukaraisha..

Unaweza kuni attack mim binafsi na sio nchi nzima?
 
MY THEME:

"MSITUMIE VIJANA WENYE SHIDA KUZIDI KUWANYONYA."
 
Kwamba 100,000-$25 ni bure? Hivi site ya Picha ina kazi gani mkuu? Tena personal sio hata ambayo user ana upload?
Kwanza kabisa sidhani kama kuna provider walio stable wanatoa domain+ hosting kwa $25

Pia kumbuka hii ni site ya picha lazima hosting iwe ya uhakika sababu ya storage na speed

Anyway mimi naamini kwa kazi yake ni muhimu kuwa na site nzuri (speed + storage) for showcase, ni ngumu mtu kumtengenezea kwa hiyo bei labda huyo mtu ni rafiki ake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba 100,000-$25 ni bure? Hivi site ya Picha ina kazi gani mkuu? Tena personal sio hata ambayo user ana upload?
Chief-Mkwawa kwa status ulojijengea JF nadhani bora ungeachana na hii mada aisee. Kwamba ndo mtu atengeneze kwa 40k installations, customizations, graphics (logo, etc).

Watu wanajaziwa fomu za pasports or visa pale immigrations wanalipa above 60k just online form kwa mtu wa stationery. Leo hii ukamlipe dogo eti ainstall wp, apandishe theme, a customise afu umletee zile swaga rangii hii dah labda ungeweka ingine. Mara hiyo logo hapo haijakaa poa.

Ndo mana kumbe vijana wengi wa IT bongo wanakaa stationery wanaona bora ale hela ya kuchapa makaratasi na kujazia watu forms kuliko kuhangaika na profession ambayo watu hawaiheshimu.
 
Chief-Mkwawa kwa status ulojijengea JF nadhani bora ungeachana na hii mada aisee. Kwamba ndo mtu atengeneze kwa 40k installations, customizations, graphics (logo, etc).

Watu wanajaziwa fomu na pasports or visa pale immigrations wanalipa above 60k just online form kwa mtu wa stationery. Leo hii ukamlipe dogo eti ainstall wp, apandishe theme, a customise afu umletee zile swaga rangii hii dah labda ungeweka ingine. Mara hiyo logo hapo haijakaa poa.

Ndo mana kumbe vijana wengi wa IT bongo wanakaa stationery wanaona bora ale hela ya kuchapa makaratasi na kujazia watu forms kuliko kuhangaika na profession ambayo watu hawaiheshimu.
mteja yeyote akishaweka neno simple kwenye maelezo yake, kimbia, huyo ni mnyonyaji
kama ni simple na afanye mwenyewe
 
Back
Top Bottom