Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kabisa yaniAfu uwe na harusi umuite asimamie na kuhakikisha upatikanaji wa video na photos nzuri za shuhuli nzima umwambie nna laki uone. Sio poa kabisa kutoheshimu kazi za watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaniAfu uwe na harusi umuite asimamie na kuhakikisha upatikanaji wa video na photos nzuri za shuhuli nzima umwambie nna laki uone. Sio poa kabisa kutoheshimu kazi za watu.
Kwani wako na maziwa mpaka useme wananyonywaMY THEME:
"MSITUMIE VIJANA WENYE SHIDA KUZIDI KUWANYONYA."
Hakuna ninayemnyonya mkuu,MY THEME:
"MSITUMIE VIJANA WENYE SHIDA KUZIDI KUWANYONYA."
Hata mimi najua kuwa watakuja wengi. All in all hata mimi huwa natangaza kazi mbalimbali (graphics, web apps, mobile apps, etc) ila huwa naangalia bei ya soko ndo namlipa mtu siwezi mnyonya eti kisa wamekuja kibao.Hakuna ninayemnyonya mkuu,
Huwezi kufanya kama haina maslai,ambaye amefanya basi jua inamlipa.
Inbox yangu ina vijana wengi mpaka sasa wanataka hii kazi.
Kaka usisahau mimi ni photographer,Hata mimi najua kuwa watakuja wengi. All in all hata mimi huwa natangaza kazi mbalimbali (graphics, web apps, mobile apps, etc) ila huwa naangalia bei ya soko ndo namlipa mtu siwezi mnyonya eti kisa wamekuja kibao.
By the way I'm a professional accountant na ethics and integrity huwa kwangu ni kipaumbele.
Think it this way:
Fani ya lawyers - muhuri tu wa ku attest/notarise wanacharge from 40k and above.
Fani ya accountants - muhuri kwenye hesabu za mwaka ni from 200k and above. Just muhuri.
Fani ya IT - website complete (hosting, domain, graphics, installations, customizations, etc) unataka uwape 100k.
Halafu unasema sio unyonyaji. Acheni kunyonya vijana wa IT bongo.
Lazima nikukalie kooni yes mana hakuna kitu kinaniuma kama maisha ya vijana wa kitanzania.Kaka usisahau mimi ni photographer,
Graphic designer pia nafanya,
Ni muda tu umenibana pia photographer ni kazi ya ziada ndio mana sijaweka sana effort kubwa,na ainilipi kiiivo coz ajira maalum inanibana....
So nikitulia na YouTube naweza chomoa website nzuri tu...muda ndio tatizo..
Pia kama 100k haina maslai tunaweza lindana zaidi ki ungwana.
Sema mkuu umenisimamia kooni...haya hebu sema unataka niwalipe kiasi gani vijana na mimi napata kiasi gani kwa kila session moja ya wedding ya one hour.
Sio wezi tu na ujuaji mwingi hata Website ya Serikali kama NACTE,NECTA hazijafika bei iyoVijana wa humu ni wezi sana, website ya 2.2 M bongo? Acheni ujinga mtaendelea kufaa njaa
Hakuna mpigaji Upwork acha ujuaji pesa inawekwa bond mpaka Mwenye kazi ajiridhishe na Kazi yake ndo Upwork wanakabidhi pesa yote sasa upigaji gani huo unaoongelea wewe mkuuAu sio [emoji3] tena huko upwork kuna wapigaji balaa! Akalizwe hiyo laki yake bure akapatiwa facebook page [emoji3]
Haya ndio maneno tunataka kusikia. Wewe unafanya hizi kazi?Nunua joomla template zinatumiwa hata na professional web master ufanye mwenyewe utaokoa hiyo pesa yako
Hayo mambo ya Rangi hii unayasema wewe mkuu, hajasema yeye, ambae anaona inamlipa anaweza wasiliana nae wakakubaliana,Chief-Mkwawa kwa status ulojijengea JF nadhani bora ungeachana na hii mada aisee. Kwamba ndo mtu atengeneze kwa 40k installations, customizations, graphics (logo, etc).
Watu wanajaziwa fomu za pasports or visa pale immigrations wanalipa above 60k just online form kwa mtu wa stationery. Leo hii ukamlipe dogo eti ainstall wp, apandishe theme, a customise afu umletee zile swaga rangii hii dah labda ungeweka ingine. Mara hiyo logo hapo haijakaa poa.
Ndo mana kumbe vijana wengi wa IT bongo wanakaa stationery wanaona bora ale hela ya kuchapa makaratasi na kujazia watu forms kuliko kuhangaika na profession ambayo watu hawaiheshimu.
Mimi nimetumia Nexusbyte kwa muda mrefu sana kabla hawajazingua mwanzoni mwa mwaka huu, kuna Hostinger na wengine wengi tu.Kwanza kabisa sidhani kama kuna provider walio stable wanatoa domain+ hosting kwa $25
Pia kumbuka hii ni site ya picha lazima hosting iwe ya uhakika sababu ya storage na speed
Anyway mimi naamini kwa kazi yake ni muhimu kuwa na site nzuri (speed + storage) for showcase, ni ngumu mtu kumtengenezea kwa hiyo bei labda huyo mtu ni rafiki ake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri utulie huko youtube utengeneze mwenyewe uone kama hiyo 100k yako haijaishia kwenye vifurushi vya internet na hapo bado haujaambulia chochote! 😀 Na hapo bado haujalipia domain name, hosting n.kKaka usisahau mimi ni photographer,
Graphic designer pia nafanya,
Ni muda tu umenibana pia photographer ni kazi ya ziada ndio mana sijaweka sana effort kubwa,na ainilipi kiiivo coz ajira maalum inanibana....
So nikitulia na YouTube naweza chomoa website nzuri tu...muda ndio tatizo..
Pia kama 100k haina maslai tunaweza lindana zaidi ki ungwana.
Sema mkuu umenisimamia kooni...haya hebu sema unataka niwalipe kiasi gani vijana na mimi napata kiasi gani kwa kila session moja ya wedding ya one hour.
So nitanunua bundle la 100k?Nakushauri utulie huko youtube utengeneze mwenyewe uone kama hiyo 100k yako haijaishia kwenye vifurushi vya internet na hapo bado haujaambulia chochote! [emoji3] Na hapo bado haujalipia domain name, hosting n.k
Zaidi ya hiyo! Na bado hautaambulia kitu 😀So nitanunua bundle la 100k?
[emoji38]
😂😂 We jemima unataka pesa iishie kwenye kipochi manyoyaNakuja PM huu mchongo nitaufanya mie mwenyewe
Mkuu we subiri tu waje,utashambuliwa.Hiyo kazi inafanyika hosting ni $2.99/mon ifastnet
Domain 1.99 godady .com
Free WordPress installation, free theme na free plugins
Pia anaweza kupata premium theme na plugins kutoka kwa nulled communities
Mfano kiforum kangu hiki nilichouziwa mbuzi kwa gunia nakilipia $2.99 ila this mon ndio mwisho nipo radhi nikigawe bure TangaForums