Nahitajika Mshirika tuchange naye BTTS mbili kianzio 10000 kila siku formula hii hapa

Niliwahi kupata hili wazo nikaweka hadi timu 1 na nikaliwa 🤣🤣
 
Hiyo inaitwa Martinegale technique. Ukiwa unaiwaza inaonekana kama effective hivi, ila in long run unaishia kupoteza kibunda cha haja.
 
Just ombi hamna neno mbadala wa "kuliwa".
Kuna sehemu ilileta kesi mke alimpigia simu mumewe akimuarifu yuko kwa mchina na "ameliwa" mara mbili halafu simu ikakatika sijui kiliendelea nini baadaye.
 

Kubeti sio rahisi hivo mkuu kiasi kwamba Hadi useme kuna kutoa mechi ya uhakika

Katika hizo mechi 5 ni 2 tu ndio zimetoa GG kwahiyo kuna possiblity kubwa katika kuchagua kwako hiyo team mechi unayosema ya uhakika ungechagua katika hizo 3 ambazo hazijatoa

Bet pale ambapo unaona hisia zako zinakuambia ubet, usibet kila siku ikawa addiction, ukiwa addicted utakuwa unaliwa 200000 wewe unakula 40000 unafurahi kuwa umekula

ila katika long run utajikuta umeliwa 1M alafu wewe ulikula 200k ila ukila unapata Amani ya moyo na mzuka kuwa maybe upepo ndio umekuja kumbe wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…