figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Bwana AsifiweAlikuwa kamanda wa polis mkoa wa iringa kipindi Cha kifo Cha mwangosi
Tumsifu Yesu Kristu🤣🤣🤣🤣
Mungu hachelewi Wala hawahiNaibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
Inasikitisha sanaMmoja ?
Kama ndivyo afie mbali kabisa!.Alikuwa kamanda wa polis mkoa wa iringa kipindi Cha kifo Cha mwangosi
Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
Inasikitisha sana
Malipo ni hapa hapaTOKA MAKTABA :
2012 October 10
MAUAJI YA MWANDISHI MWANGOSI
Tume ya haki za binadamu yamtia hatiani RPC wa mkoa wa Iringa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=OETTx_BrgXsTaarifa ya uchunguzi wa tukio la kuuwawa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora imebaini kuwa kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda Septemba 2 mwaka huu katika utekelezaji wa majukumu yake alikiuka sheria ya vyama vya siasa.
Mungu Oyeeee