Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hawa ilitakiwa wanatolewa madarakani na kuswagwa mahakamani fasta.Na siku CCM ikitoka madarakani haitarudi tena mbwaaa hawa.
Kheee 😳😳 c walisema December?Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Ana pesa nyingi sana eeghRais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
Utopolo mtupu! Hao wakandarasi wa gharama kubwa watoka wapi kama sio kupiga Hela! Si mlisema vyanzo vya maji vimeharibiwa Kwa Kasi?Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha mitambo hiyo lakini kwa uharaka ili kuweza kutatua tatizo lakini sasa wamejifunza na tatizo halitajirudia.
Pia Byabato amesema kipindi kifupi kijacho watajaza maji katika bwawa la Nyerere kufanya majaribio ya uzalishaji umeme na mpaka kukamilika kwake litagaharimu jumla ya trilioni 6.5 ambapo mpaka sasa Rais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
Soon watasema tatizo la umeme linatokana na vita ya Ukraine na UrusiBaada ya Mvua kunyesha, mnabadili visingizio?
Bado CCM mnazidi kuhangaika na "UFISADI"
Makamba alituambia Magufuli aliizeesha Mitambo,hivyo tumpe Muda airekebishe!
Baadae akabadili ikawa ni Uchakavu wa njia za kusafirishia Umeme!
Baadae ikawa ni Ukame,ingawa aliumbuliwa na Meneja wa Bwawa la Mtera!
Majuzi tena ametuambia ni Ukame nchi nzima!
Sasa Mvua zimeanza mmebadili gear kwamba ni Mitambo ya Gesi?
Hivi hili bunge halina kamati ya Nishati?
Makamba huyohuyo anatuambia Tanesco inao uwezo wa kuzalisha Megawati 1900.
Mahitaji na Matumizi halisi ya Watanzania nchini ni Megawati 1500 pekee.
Hivyo tunayo ziada ya megawati 400.
Lakini tunayo shortage ya Megawati 2oo kutokana na Ukame!
Je! Hizi Megawati zingine 200 kati zimeenda wapi?
Kama ipo mbona hatuioni ikihangaika na huu udanganyifu?
Au kwa sababu ma-Chawa kina "Musukuma" ndio wajumbe wa kamati hiyo?
CCM mnatia aibu Sana!
CCM mnatuudhi sana!
CCM mmezeeka mpaka mmeuchoka uzee!
Sasa mnatamani kuzama na CCM yenu!
Byabato mchaga😀😀😀😀😀😀Huyu mchagga huwa simuelewi kabisa hapo Nishati
Na wenyewe wanajua hilo ndio maana wanang'ang'ania madaraka kwa hali na mali, wako radhi tuingie vitani kuliko kuachia nchi.Na siku CCM ikitoka madarakani haitarudi tena mbwaaa hawa.
Hahaha.........!Byabato mchaga😀😀😀😀😀😀
Nyie wakabila. Watanzania hatutajani kwa makabila labda ninyi wa nchi jirani.Bybato muhaya huyo.
#MaendeleoHayanaChama
Yah siku ya birthday yakeTatizo litakoma Januari na waziri wa nishati anaitwa Januari