vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Mafisadi hayo yanatafuta namna ys kuiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi wetu labda bahasha zimewalevya.MKUU PENGINE WAMEENDA ILA WANAKUTANA NA RUSHWA WAKAE KIMYA AU NA MTUTU WA BUNDUKI. MANA UKIMYA WAO PIA UNASHANGAZA.
ila january unamuelewa?Huyu mchagga huwa simuelewi kabisa hapo Nishati
Mama ni ana bahati ya kupata hela ila ni kilaza; angekuwa na dira kwa hela alizotoa ndani ya mfupi mfupi asingewavumilia watu wanaofanya atukanwe wakati amewapa rasimali fedha ya kutosha.MKUU UMEFAFANUA VYEMA KABISA NA NAFURAHI PIA KUA BADO ASILIMIA KUBWA WATANZANIA TUNA AKILI SANA YA KUHOJI NA HATUWEZ KUDANGANYWA KIPUMBAVU AU KIJINGA, ILA SASA TUKIHOJI HIVI TUNAAMBIWA KUA TUNAPENDA VYA BURE, TUMEMSIKIA HUKO ARUSHA AKITUNANGA WATANZANIA KUA TUNAPENDA VYA BURE, NAONA AMEANZA KULEWA MADARAKA, AULIZIE WALIOLEWA MADARAKA WAKO WAPI KWA SASA, WENGINE NI MAREHEMU, WENGINE WAKO THE HAGUE.
Sana tuila january unamuelewa?
Kiongozi mwenye kutafuta visingizio kila siku, ili aweze kukwepa majukumu yake ya kutafuta ufumbuzi wa kudumu katika eneo la kazi hafai hata kidogo kupewa dhamana hiyo.Baada ya Mvua kunyesha, mnabadili visingizio?
Bado CCM mnazidi kuhangaika na "UFISADI"
Makamba alituambia Magufuli aliizeesha Mitambo,hivyo tumpe Muda airekebishe!
Baadae akabadili ikawa ni Uchakavu wa njia za kusafirishia Umeme!
Baadae ikawa ni Ukame,ingawa aliumbuliwa na Meneja wa Bwawa la Mtera!
Majuzi tena ametuambia ni Ukame nchi nzima!
Sasa Mvua zimeanza mmebadili gear kwamba ni Mitambo ya Gesi?
Makamba huyohuyo anatuambia Tanesco inao uwezo wa kuzalisha Megawati 1900.
Mahitaji na Matumizi halisi ya Watanzania nchini ni Megawati 1500 pekee.
Hivyo tunayo ziada ya megawati 400.
Lakini tunayo shortage ya Megawati 2oo kutokana na Ukame!
Je! Hizi Megawati zingine 200 kati zimeenda wapi?
Hivi hili bunge halina kamati ya Nishati?
Kama ipo mbona hatuioni ikihangaika na huu udanganyifu?
Au kwa sababu ma-Chawa kina "Musukuma" ndio wajumbe wa kamati hiyo?
CCM mnatia aibu Sana!
CCM mnatuudhi sana!
CCM mmezeeka mpaka mmeuchoka uzee!
Sasa mnatamani kuzama na CCM yenu!
Mkandarasi mwenye gharama kubwa sio 😁😁😁 ndani yake kuna 10% zenu kwani nani hawajui ninyi wachumi wa tumbo.Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha mitambo hiyo lakini kwa uharaka ili kuweza kutatua tatizo lakini sasa wamejifunza na tatizo halitajirudia.
Pia Byabato amesema kipindi kifupi kijacho watajaza maji katika bwawa la Nyerere kufanya majaribio ya uzalishaji umeme na mpaka kukamilika kwake litagaharimu jumla ya trilioni 6.5 ambapo mpaka sasa Rais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
Huko mkuu ndiko pesa zinakopigwa kweupeMKUU, KWA HESHIMA KUBWA KABISA NIKUAMBIE NA NIWAAMBIE NA WATANZANIA WOTE KUA WIZARA YA NISHATI NZIMA ILIYOPO TANZANIA IKIONGOZWA NA TANESCO NI KICHAKA CHA MAFISADI WA KUTISHA, MATAPELI WA VIWANGO VYA KUSHANGAZA, WEZI WA KUTISHA KABISA KUWAHI KUTOKEA TANGU DUNIA KUUMBWA, NA HILI NI KAMA LILE LA ESCROW NA DOWANS LINARUDI KWASTAILI NYINGINE ILA MUNGU WETU AISHIVYO IPO SIKU.
Anakuwa busy na kazi za RostamHivi kwanini kwenye ziara zote za RAIS Samia, Waziri wa nishati mara zote anawakilishwa na Byabato?!... Sijawahi kumwona ata mara moja akiambatana na RAIS wetu kwenye ziara za hapa nchini kwetu tangu kuteuliwa kwake.
Economic hitmen wapo kazini, na kibaya kabisa tena kabisa wanafahamu watanzania hatuna umoja yaani mfano Zitto alishakula rushwa ukijumlisha na udini wake kwa muislamu mwenzake Rais Samia basi kimyaa utadhani hakuna kinachoendelea. Na niwahakikishie na nina uhakika hili suala la umeme yaani kipindi hiki ni afadhali mno, kipindi kijacho hali itakuwa mbaya sana tena sana. Kama unaweza nunua jenereta tu. Economic hitmen watahakikisha miundombinu yetu ya umeme iko vibaya sana ili tushindwe kabisa uwekezaji wa viwanda na wale waliopo waondoke. Kingine wanahakikisha wanatukopesha mikopo mingi ili baaaye wachukue resources kiurahisi. Wanasiasa wetu wengi wapo kwenye payroll za economic hitmen. Watajifanya kuonesha nia ila lengo hasa ni kuhakikisha mambo yanakuwa mbaya ili hao hao economic hitmen waje waseme tunawasaidia. Mfano tu kuharibika hiyo mitambo ya gas ni hujuma na bado.Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha mitambo hiyo lakini kwa uharaka ili kuweza kutatua tatizo lakini sasa wamejifunza na tatizo halitajirudia.
Pia Byabato amesema kipindi kifupi kijacho watajaza maji katika bwawa la Nyerere kufanya majaribio ya uzalishaji umeme na mpaka kukamilika kwake litagaharimu jumla ya trilioni 6.5 ambapo mpaka sasa Rais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
Wachaneni na ma umeme ya maji, ongezeni mitambo ya dharula ya GasNaibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha mitambo hiyo lakini kwa uharaka ili kuweza kutatua tatizo lakini sasa wamejifunza na tatizo halitajirudia.
Pia Byabato amesema kipindi kifupi kijacho watajaza maji katika bwawa la Nyerere kufanya majaribio ya uzalishaji umeme na mpaka kukamilika kwake litagaharimu jumla ya trilioni 6.5 ambapo mpaka sasa Rais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
Wakati wa shida ndio wakati wa neema.Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha mitambo hiyo lakini kwa uharaka ili kuweza kutatua tatizo lakini sasa wamejifunza na tatizo halitajirudia.
Pia Byabato amesema kipindi kifupi kijacho watajaza maji katika bwawa la Nyerere kufanya majaribio ya uzalishaji umeme na mpaka kukamilika kwake litagaharimu jumla ya trilioni 6.5 ambapo mpaka sasa Rais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
😞😞😞😞😞😞Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha mitambo hiyo lakini kwa uharaka ili kuweza kutatua tatizo lakini sasa wamejifunza na tatizo halitajirudia.
Pia Byabato amesema kipindi kifupi kijacho watajaza maji katika bwawa la Nyerere kufanya majaribio ya uzalishaji umeme na mpaka kukamilika kwake litagaharimu jumla ya trilioni 6.5 ambapo mpaka sasa Rais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
Hivi hii inchi ina wanaume kweli??? Kuvumilia huu ujinga??Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha mitambo hiyo lakini kwa uharaka ili kuweza kutatua tatizo lakini sasa wamejifunza na tatizo halitajirudia.
Pia Byabato amesema kipindi kifupi kijacho watajaza maji katika bwawa la Nyerere kufanya majaribio ya uzalishaji umeme na mpaka kukamilika kwake litagaharimu jumla ya trilioni 6.5 ambapo mpaka sasa Rais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
Huyu mchagga huwa simuelewi kabisa hapo Nishati
Nawakubali sana wachagga wao ndio walituletea Television baada ya wale Wahindi wa CTN na DTVWachaga wamekufanya nini mkuu kila mtu unadhani mchaga[emoji1787][emoji23]Byabato toka lini akawa mchaga
maneno yao yatakuja kuwatafuna,nawatahadharishwa wawe na akiba ya maneno.mwenzake alisema tuna surplus naye huyu waitu anabwabwaja ya kwake.kweli nchi hii ni ngumu sana.Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha mitambo hiyo lakini kwa uharaka ili kuweza kutatua tatizo lakini sasa wamejifunza na tatizo halitajirudia.
Pia Byabato amesema kipindi kifupi kijacho watajaza maji katika bwawa la Nyerere kufanya majaribio ya uzalishaji umeme na mpaka kukamilika kwake litagaharimu jumla ya trilioni 6.5 ambapo mpaka sasa Rais Samia ameshatoa zaidi ya trilioni 4 na ukikamilika utazidi uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme uliopo sasa.
byabato ni nsomile wa kule BK mjini na sio mchaga.Wachaga wamekufanya nini mkuu kila mtu unadhani mchaga[emoji1787][emoji23]Byabato toka lini akawa mchaga