Naibu Nishati: Tumelazimika kutafuta wakandarasi wa bei kubwa lakini kwa uharaka. Aahidi kadhia ya umeme kukoma Januari

Tangu mwaka 1991 tulikuwa tunaaambiwa tatizo la kukatika kwa umeme litakuwa historia hadi leo lugha ileile, yaani Watanzania tumefanywa vifaranga vya kuku tutanyonya keho.
 
Kweli hii nchi toka uhuru 1961 tunahangaika na umeme na maji kwa watu wetu?
 
Mvua zimenyesha kidatu,mtera na nyumba ya Mungu!?..ni mvua kiasi gani imenyesha?
 
Politics from politicians
 
Yule aliyesema mwishoni mwa disemba alimaanisha kuwa deals zake zitakuwa zimekamilika december? Huyu naye deals zake ni mpaka january?
 

Huyu Makamba aliwaondoa wabobezi kwenye bodi ya Tanesco ameweka washikaji, wapigaji, matajiri wasio na utaalamu wa kutosha.


Tutegemee visingio kibao kama kawaida sio kutatua changamoto. Kama kawaida ya hii serikali na hii wizara Kwa sasa.
 
Huu uchawa huu,Samia anatoa wapi tilioni 4.5!kujenga mradi wa Taifa,kama anahizo pesa,alitaka Uraisi wa nini?
 
Mkandarasi mwenye gharama kubwa sio 😁😁😁 ndani yake kuna 10% zenu kwani nani hawajui ninyi wachumi wa tumbo.

Huu mgao wameutengeneza ili kupiga hela, sasa wameona mvua zimeanza kunyesha, Imebidi waseme kuna wataalamu wa bei mbaya haraka ili maji yakijaa kwenye mabwawa, waseme hao wataalamu ndio wametengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…