Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

Huyu mzee yupo pale kama pambo hata yeye job description yake ukimuuliza hajui
Hata Kenya awali walikua na vice president kama ilivyo Tanzania tu.
ambae ni principal assistant to the head of the state. Full stop.

sasa kwenye katiba yao mpya ya 2010, wakabadili kutoka vice president hadi deputy president kwa mbwembwe na ujuaji mwiiiingi wa kazi na majukumu ya kisheria ya naibu wa Rais,

sasa haya wanayopitia ni miongoni mwa matokeo yake na yanaonekana kuithiri Kenya pakubwa tangu baaada ya uchaguzi wa 2018 ya katika serikali ya Uhuru na Ruto 🐒
 
Hapa kwetu kuongea tu na waandishi wa habari unakamatwa na polisi. Sijui ni lini tutaondokana na utumwa wa CCM?
 
Mpango anafaida gani zaidi ya kutuongezea gharama tu walipa kodi?
 
Mpango anafaida gani zaidi ya kutuongezea gharama tu walipa kodi?
Mungu alishirikishwa kikamilifu katika kuunda katiba ya Tanzania ni umuhimu wa nafasi anayoishikilia Dr.Mpango ni pale muumba wa mbingu na dunia atakavyoomua sawa sawa na mapenzi yake kwa waTanzani 🐒
 
Mama kasema muwe mnamsaidia kujibu tuhuma dhidi yake, hayo ya majirani hayakuhusu..
 
Mama kasema muwe mnamsaidia kujibu tuhuma dhidi yake, hayo ya majirani hayakuhusu..
si kweli hata kidogo, hakuna tuhuma hata kidogo..

hata hivyo,
kila mTanzania mzalendo mwenye mapema mema anawajibu wa kuisemea Tanzania bila ruhusa kutoka popote..

wapinzani waache Imani potofu za kushirikiana, ramli chonganishi, kutoana kafara, waache kuwafanya vijana wao misukule na kusingizia sijui nini na nini huko 🐒
 
Ndiyo maana Kenya ipo juu kimaendeleo huku nchi ya kijinga hata diwani hatuwezi kumtoa sababu ya katiba ya kishetani
Hayomaendeleo Msingi wake mkubwa ni uwekezajo wa Wazungu waliokuwepo kabla ya ukoloni. Zaidi ya hapo tuambie kipi wamewekeza cha uzalishaji wa ajira na mapato. Tueleze!
 
Huyo mzee ni mjuaji mnoo,nmefuatilia clips zake kadhaa hafai kabisa.atemwe tu. Anashindwa hata kumtafuta Ruto wakae amuombe radhi wayamalize??
 
We ungejiuzulu??
 
Huyo mzee ni mjuaji mnoo,nmefuatilia clips zake kadhaa hafai kabisa.atemwe tu. Anashindwa hata kumtafuta Ruto wakae amuombe radhi wayamalize??
Anaclips anamuwakia rutto kama awako serikalin pamoja anyway
 
Magufulication anaikumbuka asubuhi kukiwa kunakucha! Hapo mwanzo alikuwa anakula na nani!? By the way sishangai, si ndio maana ule uwendawazimu wa kupotezana umerudi Tena, . Muuaji Daudi Albert Bashite eti naye anapewa Uongozi! Si tausi hili. Bado yule mhalifu mwingine Sabaya, tunasubiri na yeye apewe cheo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…