Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

kujiuzuiu na sawa na kupima ukimwi mkuu
 
Huyo mzee ni mjuaji mnoo,nmefuatilia clips zake kadhaa hafai kabisa.atemwe tu. Anashindwa hata kumtafuta Ruto wakae amuombe radhi wayamalize??
hapigi vyombo lakini ukimuangalia na kumsikiliza utadhani mpiga maji 🤣

na utadhani amechaguliwa kwaajili ya watu wa mlima Kenya pekee, maana kutwa nzima anaizungumziaga mount Kenya tu, na anasahau kwamba yeye ni naibu wa Rais wa waKenya wote 🐒
 
Ndiyo maana Kenya ipo juu kimaendeleo huku nchi ya kijinga hata diwani hatuwezi kumtoa sababu ya katiba ya kishetani
Dadeki igeni tena kenya mtolewe kamasi sehemu zote za wazi,,,,,,kila nchi ina formula yake msitake mambo ya kucopy na ku paste naona Gen Z ya kenya iliwahamasisha sana mkajua na huku mtaweza wakati huku Gen Z ni wasambaza Uti sugu tu bora hata mngeenda na millenials japo nao ni ma keyboard warriors ,,,,,ila mwanasiasa ambae kaweka matumaini yake kwa Gen Z ya bongo kapotea vibaya sana
 
Naby Keita hawezi kuwa mjinga kiasi cha kuwa chawa namna hii.
 
Huu ni unafiki mkubwa na kukosa fadhila kwa Ruto, kwasbb bila Rigathe Gachagua kumpambania asingeweza kupata kiti cha urais. Ame-play role kubwa sana.

Hiki ndicho alichokifanya Samia pia. Baada ya kifo cha jiwe, sukuma gang hawakutaka Samia ashike wadhifa wa urais....walitaka wamchezee kekundu.

Msoga gang ikasimama kidete kuhakikisha Samia anakikalia kiti. Lkn hivi sasa Samia anaisulubu Msoga gang na kuikumbatia Sukuma gang.
Kwan unavyosema alimpambania yy gachagua alipiga kura ngap kias kwamba wakenya wengine hawaku pambana?
 
Back
Top Bottom