Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

kujiuzuiu na sawa na kupima ukimwi mkuu
 
Huyo mzee ni mjuaji mnoo,nmefuatilia clips zake kadhaa hafai kabisa.atemwe tu. Anashindwa hata kumtafuta Ruto wakae amuombe radhi wayamalize??
hapigi vyombo lakini ukimuangalia na kumsikiliza utadhani mpiga maji 🀣

na utadhani amechaguliwa kwaajili ya watu wa mlima Kenya pekee, maana kutwa nzima anaizungumziaga mount Kenya tu, na anasahau kwamba yeye ni naibu wa Rais wa waKenya wote πŸ’
 
Ndiyo maana Kenya ipo juu kimaendeleo huku nchi ya kijinga hata diwani hatuwezi kumtoa sababu ya katiba ya kishetani
Dadeki igeni tena kenya mtolewe kamasi sehemu zote za wazi,,,,,,kila nchi ina formula yake msitake mambo ya kucopy na ku paste naona Gen Z ya kenya iliwahamasisha sana mkajua na huku mtaweza wakati huku Gen Z ni wasambaza Uti sugu tu bora hata mngeenda na millenials japo nao ni ma keyboard warriors ,,,,,ila mwanasiasa ambae kaweka matumaini yake kwa Gen Z ya bongo kapotea vibaya sana
 
Naby Keita hawezi kuwa mjinga kiasi cha kuwa chawa namna hii.
 
Kwan unavyosema alimpambania yy gachagua alipiga kura ngap kias kwamba wakenya wengine hawaku pambana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…