TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mbinu ni kugawa mlima. Na ni kama mbinu inafanya kazi. Mlima unagawanywa East na West. Kupeleka shauri mahakamani ni kurasimisha vita baina ya pande za mlima!Ni suala la muda tu, kitanuka tena na safari hii watu wa milimani watakinukisha mbaya
Pia Nilishangaa sana Seneta anapendekeza DP ajaye lazima atoke kwa huo mlima. Pia nilishangaa Seneta mmoja ananukuu vifungu vya biblia kutetea Rigathi asitimuliwe kisa anatoka mlimani...mambo ya aibu. Ukabila umekita mizizi sana Kenya