Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

Vizuri amekuwa impeached kwa sababu sasa atasema ukweli na Gen Z wakirudi barabarani huyo jambazi wa Ikulu atassga meno
Tayari umesahau roho za vijana zaidi ya 100

Aisee

That simple
 
Jambazi mkuu Bado yupo pale
Jana nilifuatilia impeachment live, nilimsikia Seneta mmoja akiibua hoja ya wa Milimani....

Halafu Bunge na Seneti ndiyo waliopitisha ule.muswada wa sheria ya fedha despite kelele za wananchi na kusababisha maandamano makubwa ya Gen Z.

Hivyo kuna kauli zilisikika kutoka kwa waandamanaji waliokamatwa na polisi wakihojiwa waseme kama Deputy President yupo behind ya hayo maandamano.

Hivyo utaona wazi kwamba, hii impeachment ni post maandamano na ni vita isiyoisha ya madaraka.

Ni suala la muda tu, kitanuka tena na safari hii watu wa milimani watakinukisha mbaya
 
Tayari umesahau roho za vijana zaidi ya 100

Aisee

That simple
Mkuu
Kenya linapokuja suala la kitaifa huwa wanajitoa unyonge.

Ukiogopa kufa ni sawa na Mtanzania ambaye nduguye anatekwa na polisi kisha anauawa huku familia ikiogopa kudai haki ya kuishi ya ndugu yao.
 
Mkuu
Kenya linapokuja suala la kitaifa huwa wanajitoa unyonge.

Ukiogopa kufa ni sawa na Mtanzania ambaye nduguye anatekwa na polisi kisha anauawa huku familia ikiogopa kudai haki ya kuishi ya ndugu yao.
Conflicting…. Maana umeunga mkono kuondolewa kwa mtetezi wa genZ

Nilidhani ungemtetea mtetezi wao
 
Conflicting…. Maana umeunga mkono kuondolewa kwa mtetezi wa genZ

Nilidhani ungemtetea mtetezi wao
Ukiwaza nje ya box, ili mmea uote na kuzaa ni shurti ufe kwanza.

Hii ni reborn ya Gachagua
 
Ukikaa kwenye siasa,kula,iba,tesa watu,dhulumu,fisadi lakini inatakiwa uweke kichwani mwako kuwa iko siku moja utayaacha hayo madaraka au utalipia uovu wote ulioufanya,kwahiyo hana haja ya kupanic,that is politics...
 
........Breaking News...................

Makamo wa RAIS wa KENYA muheshimiwa RIGATHI GACHAGUA,
Almaarufu wenyewe humuita NAIBU RAIS ameondolewa rasmi madarakani,
GACHAGUA ameondolewa madarakani baada ya bunge la SENETI,
Kumkuta na hatia kama alivyo kutwa na hatia na BUNG LA KITAIFA,
GACHAGUA anatuhumiwa kufanya makosa 11,
Ikiwemo kueneza ukabila, kujimbikizia mali, kuingilia mchakato wa manunuzi,
Pamoja na kufadhili maandamano ya kizazi cha mwisho yaani generation Z,
Almaarufu maandamano hayo yaliitwa GEN Z,
GACHAGUA anakua naibu RAIS wa kwanza kuondolewa madarakani,
Kwa style hii baada ya katiba mpya kutungwa mwaka 2010,
Huku mwenyewe akiwa hospitali amelazwa,
Baada ya kugua ghafla masaa machache kabla hajaondolewa madarakani,
Mara tu bunge la SENATE lilipo tangaza kmuondoa madarakani,
Taarifa rasmi ilitumwa kwa muheshimiwa RAIS wa KENYA muheshimiwa WILLIAM RUTO,
Na muda huohuo RUTO akaanza kuifanyia kazi kwani,
Muda huo huo wa usiku wa kuamkia leo,
Walinzi wote waliokuwa wanamlinda GACHAGUA,
Waliamuliwa kuondoka nyumbani kwake,
Pia waliamuliwa kuondoka hospitali alipokuwa amelazwa,
Nakumuacha peke yake na familia yake tu,
Pia magari yote ya ofisini pamoja na mali zote za ofisi ameny'anywa na kurudishwa ofisini,
Pia familia yake imetolewa nje ya nyumba ya makamo wa RAIS usiku huohuo,
Na GACHAGUA amepigwa marufuku kuonekana maeneo hayo,
GACHAGUA bado anapokea matibabu hospitalini kwa tatizo la moyo,
Ambalo limempata ghafla jana wakati akisubili matokeo ya maamuzi ya bunge la SENATE,
Kufuatia uwamuzi huo RIGATHI GACHAGUA,
Ameamua kukimbilia mahakamani kupinga kuondolewa kwake,
Na usiku huohuo mahakama imeunda time ya majaji watatu kushhungulikia jambo hilo,
Hata hivyo taarifa kutoka IKULU ya KENYA inasema,
RAIS wa KENYA muheshimiwa WILLIAM RUTO,
Muda wowote kuanzia asubuhi hii anatarajiwa kumtangaza mrithi wa GACHAGUA.

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
 
Demokrasia.ikifanya kazi kwa weledi wa juu kabisa. Hakuna mbunge chawa hapo anapiga kelele aingiziwe pesa kwenye account.
 
Hata hivyo amepambana sana, lakini bila shaka rafiki yake Ruto ndio ameamla kumtosa ili kulinda kiti cha uRais.
Na kunyume chake sinto shangaa ikawa ndio political milage ya Righathi Gachagua kwa mwaka wa uchaguzi akagombea kiti ya Presidency
[/QUOTETayari amekosa sifa Kwa kufukuzwa,ange resign alikua na chance ya kugombea urais
 
Back
Top Bottom