Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

ni ngumu kufikia hitimisho kwa hili tu, maana hatuwezi jua huwenda DP ajae akatokea Mlimani na akawa better zaidi ya Riggy G
Tusubirie lkn hakika soon wataanza kuvurugana
 
Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President.

=====

Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha shtaka la kwanza la misingi yake ya kuondolewa madarakani Ambapo Maseneta 53 kati ya 67 wamependekeza afukuzwe.

Kati ya mashtaka 11, kupatikana na hatia kwenye shtaka lolote kunapelekea kuondolewa madarakani.

View attachment 3128196

Pia soma:
It was expected, nothing new.

Kwa hali jinsi ilivyokuwa DP Gachagua alipaswa kujiudhuru haraka Sana mara tu alipopigiwa kura na Wabunge juu ya kukosa Imani naye. Kwa namna yoyote ile Gachagua asingeweza kunusurika kwenye vurumai hiyo kwa sababu tayari alishazingirwa na maadui zake na kuwekwa mtu Kati.
 
Kikuyu Arrogance
 
Angejiuzuru kabla ingeua career yake.
 
Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President.

=====

Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani.

Spika Amason Kingi: Seneti imeamua kumng'oa madarakani kwa hati ya mashtaka, Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hivyo basi, anakoma kushika wadhifa huo rasmi.

Kati ya mashtaka 11, kupatikana na hatia kwenye shtaka lolote kunapelekea kuondolewa madarakani.

View attachment 3128228

View attachment 3128196

Pia soma:
Huyumpuuzi kaingia na wenziee na matokeoo mapemaa wakaona ujinga
 
Back
Top Bottom