Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

Naonaaa anataka kuweka wauza.. wenziee Kenya mnakazi...
 
Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President.

=====

Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani.

Spika Amason Kingi: Seneti imeamua kumng'oa madarakani kwa hati ya mashtaka, Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hivyo basi, anakoma kushika wadhifa huo rasmi.

Kati ya mashtaka 11, kupatikana na hatia kwenye shtaka lolote kunapelekea kuondolewa madarakani.

View attachment 3128228

View attachment 3128196

Pia soma:
Asee hawa jamaa wako vizur kila kitu kunakuwa live and direct
 
Prof Kindiki Kithure.
AU
Anne Waiguru.
They will be fools to accept the position. Kikuyu will revolt. The charges were fabricated at best. It was not a fair fight. They wanted him out come rain come sunshine. He presented his case for the world to see that it had no merit. He think Raila will stick to him but he is wrong. Raila is an opportunist who will leave him the moment he smell defeat!
 
Not wanting him is one thing and fabricating this is another. His stupidity is to enter into the agreement without having a party to back him up when the fight happened. Uhuru wanted this but he could not muster the number. This man will regret throwing his deputy unceremonious as Uhuru did. If Rigathi is impeachable then his boss i more of the same.
 
Hata hivyo amepambana sana, lakini bila shaka rafiki yake Ruto ndio ameamla kumtosa ili kulinda kiti cha uRais.
Na kunyume chake sinto shangaa ikawa ndio political milage ya Righathi Gachagua kwa mwaka wa uchaguzi akagombea kiti ya Presidency

Ukishakuwa impeached hugombei urais milele
 
Na huku kwetu wangeleta kama hii unadhani tungeanza na nani?
Nilitaka kutumia nno baya; lakini nikastuka ni wewe mkuu 'Dokta'!
Hilo swali lako hata wewe mwenyewe unaweza kujibu bila msaada wa mtu mwingine yeyote.
 
Kwa kweli, pamoja na matatizo yao mengi, acha waKenya watufundishe katika baadhi ya mambo.

Sasa tusubiri fundisho jingine kama ataamua kwenda mahakamani.
 
They will be fools to accept the position. Kikuyu will revolt. The charges were fabricated at best. It was not a fair fight. They wanted him out come rain come sunshine. He presented his case for the world to see that it had no merit. He think Raila will stick to him but he is wrong. Raila is an opportunist who will leave him the moment he smell defeat!
Very well argued Mkuu, jamii forum Bado tupo vizuri

Majority humu hawajua hata kinachoendelea Kenya zaidi ya kushabikia wakiamini ndiyo demokrasia
 
Liende tuu, lina siasa za old school na ukabila, linaongea linafoka utafikiri linaongea na watoto wake, sample yake ni yale yakipata madaraka linafikiri lipo above the law, pumbaf sana
 
Back
Top Bottom