Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Hakuna adui, ni mwizi tuu na kutumia madaraka vibaya, mkeka uliwekwa wazo akashindwa Kujitetea , guilty verdict in almost everything , aishieIt was expected, nothing new.
Kwa hali jinsi ilivyokuwa DP Gachagua alipaswa kujiudhuru haraka Sana mara tu alipopigiwa kura na Wabunge juu ya kukosa Imani naye. Kwa namna yoyote ile Gachagua asingeweza kunusurika kwenye vurumai hiyo kwa sababu tayari alishazingirwa na maadui zake na kuwekwa mtu Kati.