TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mbinu ni kugawa mlima. Na ni kama mbinu inafanya kazi. Mlima unagawanywa East na West. Kupeleka shauri mahakamani ni kurasimisha vita baina ya pande za mlima!Ni suala la muda tu, kitanuka tena na safari hii watu wa milimani watakinukisha mbaya
Mbinu ni kugawa mlima. Na ni kama mbinu inafanya kazi. Mlima unagawanywa East na West. Kupeleka shauri mahakamani ni kurasimisha vita baina ya pande za mlima! Nilishangaa sana Seneta anapendekeza DP ajaye lazima atoke kwa huo mlima. Pia nilishangaa Seneta mmoja ananukuu vifungu vya biblia kutetea Rigathi asitimuliwe kisa anatoka mlimani...mambo ya aibu. Ukabila umekita mizizi sana KenyaNi suala la muda tu, kitanuka tena na safari hii watu wa milimani watakinukisha mbaya
Still kicking mahakamani!Riggy G
hatoboiMbinu ni kugawa mlima. Na ni kama mbinu inafanya kazi. Mlima unagawanywa East na West. Kupeleka shauri mahakamani ni kurasimisha vita baina ya pande za mlima! Nilishangaa sana Seneta anapendekeza DP ajaye lazima atoke kwa huo mlima. Pia nilishangaa Seneta mmoja ananukuu vifungu vya biblia kutetea Rigathi asitimuliwe kisa anatoka mlimani...mambo ya aibu. Ukabila umekita mizizi sana Kenya
Still kicking mahakamani!
Aisee inaweza kuwa kweli, Maana Tangazo la Gazette la Serikali ya Kenya limetolewa rasmi Sasa Prof. Kindiki ndiye Makamu/Naibu wa Rais Kenyahatoboi
Hii imeishaAisee inaweza kuwa kweli, Maana Tangazo la Gazette la Serikali ya Kenya limetolewa rasmi Sasa Prof. Kindiki ndiye Makamu/Naibu wa Rais Kenya
Alimkashifu Kenyatta? Mimi sikufuatilia hiyo siku ya uapisho kwa sababu nilikasirika Odinga kushindwa. Hata haya mashtaka yaliyomwondoa siyo kitu kipya kufanywa na wanasiasa wetu wa Afrika. Kama Magufuli alikuwa na tabia ya kusema wale ambao hawakuchagua CCM hawatapelekewa maendeleo. Matamshi yake yote yalikuwa na mambo ya kawaida kabisa kwenye siasa za Kenya ila namna wamemchoka tu na alijitengenezea maadui kila kona.Ni kama mm Dr namugar nilitabiri anguko la rigath pale tu nilivyosikia hotuba yake akimkashifu uhuru kenyatta mbele ya alaiki na wakuu wa serekali za nch zilizo hudhuria uapisho huo,,, inauguration
mahakama ni geresha tu na kuvuta muda. Deputy President Elect Prof Kindiki anasubiri kuapishwa tuKwa kweli, pamoja na matatizo yao mengi, acha waKenya watufundishe katika baadhi ya mambo.
Sasa tusubiri fundisho jingine kama ataamua kwenda mahakamani.
Wewe unafikiri hivyo kwa kutojuwa. Kenya sasa ni tofauti kabisa na hapa kwetu, ambapo Rais akisha sema hakuna mwingine yeyote anaye weza kupinga.mahakama ni geresha tu na kuvuta muda. Deputy President Elect Prof Kindiki anasubiri kuapishwa tu
Ukweli ni huu.Alimkashifu Kenyatta? Mimi sikufuatilia hiyo siku ya uapisho kwa sababu nilikasirika Odinga kushindwa. Hata haya mashtaka yaliyomwondoa siyo kitu kipya kufanywa na wanasiasa wetu wa Afrika. Kama Magufuli alikuwa na tabia ya kusema wale ambao hawakuchagua CCM hawatapelekewa maendeleo. Matamshi yake yote yalikuwa na mambo ya kawaida kabisa kwenye siasa za Kenya ila namna wamemchoka tu na alijitengenezea maadui kila kona.