Hatimuliwi mtu hapo mpaka 2025Ni jambo jema!
Baada ya hotuba ya jana kuna kila dalili covid 19 watatimuliwa bungeni.
Aka Tumbili ataisoma namba T 2020 RAS
Hii nchi ilikuwa imeoza sana.Huu ni ufisadi unaofanywa na Ndugaye kwa makusudi kabisa
Kama kweli chadema watakubali kukutana na mh rais hawa covid 19 watakuwa kwenye hatihati ya kubaki.Ni jambo jema!
Baada ya hotuba ya jana kuna kila dalili covid 19 watatimuliwa bungeni.
Aka Tumbili ataisoma namba T 2020 RAS
Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo bungeni.
"Mheshimiwa Naibu spika sitaki sana kubishana na kiti chako lakini niseme mimi ni miongoni mwa wahanga wakubwa sana wa suala hili la mikutano ya hadhara, nikiwa kama katibu mkuu wa Baraza la wanawake CHADEMA wakati huo kabla sijaondolewa kwenye chama changu...'' Alisema Kishoa
Spika alimkatisha na kusema, "Mheshimiwa Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako, kama umeondolewa kwenye chama chako usingekuwa humu ndani kwa sababu wabunge waliokuwemo humu ndani wote wana vyama vya siasa ndivyo katiba yetu inavyosema na ndiyo katiba yetu inavyosema ile katiba hairuhusu mbunge ambae hana chama"
Kishoa: Mheshimiwa Spika hatujaondolewa kwenye chama, bado mimi ni mwanachama wa CHADEMA kwasababu tuko kwenye taratibu na tumekata rufaa na taratibu zinaendelea
Tulia: Mheshimiwa ngoja, waheshimiwa wabunge taarifa rasmi za Bunge ni kumbukumbu, umezungumza kabla ya sentesi yako ya sasakwamba kabla hujaondolewa kwenye chama chako, futa hiyo kauli kwanza halafu umalizie mchango wako kwasababu ndani ya bunge hili tutakuwa tunavunja katiba kama tutakuwa na wewe humu kama umeshaondolewa na chama chako
Kishoa: Mheshimiwa naibu spika nimefuta
Hoja ya Mbunge Jesca ilianzia kwenye haki ya kufanya mikutano ya kisiasa na kukumbana na miongozo mingi kutoka kwa wabunge wakimtaka afute kauli. Kishoa amesema nchi ikiongozwa kwa matamko badala ya katiba itapotea.
Akifafanua kuhusu mikutano ya vyama vya kisiasa, Naibu spika amesema mikutano hiyo ipo kwenye katiba za vyama vya siasa na hufanyika kwa vipindi na sio ya hadhara akitolea mfano mkutano mkuu wa CCM uttakaofata utafanyika JK Convection centre na huo ndio unaitwa mkutano wa CCM lakini Rais akienda mahali unakuwa mkutano wa Rais na si CCM.
MY TAKE:
Je, CHADEMA haijatarifu bunge kuhusu kuwavua uanachama Wabunge 19 wa CHADEMA?
Zaidi soma: Naibu Spika Dr. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako
Ha ha ha kazi iendeleeSasa Naibu Spika anamlazimisha Mbunge awe wa Chama fulani wakati mbunge huyo anamwambia yeye hana Chama.
Magwanda na jezi za CHADEMA zinafahmika, ila ikifiko huko ni mzazo wa TLP na CWT tenaTusubirie mama akisharuhusu mikutano ya kisiasa,twone watavaa jezi za chama kipi wasimamapo majukwaani.
Namshangaa Naibu Spika. Msemaji kasema alishaondolewa kwenye Chama Chake, badala ya kuchukua hatua stahiki kwa asiye na chama kuwa bungeni yeye anamlazimisha afute kauli na aseme yeye ana Chama vinginevyo anamuondoa bungeni kuogopa kuvunja katiba. Katiba ilishavunjwa siku nyingi. Mnachoendelea nacho hata mkiwalazimisha wafutaga kauli ni dhambi tu. Hakuna kingineHa ha ha kazi iendelee
Uzalendo ni kwenda mahakamani siyoChadema mbona hamuendi mahakamani?
Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo bungeni.
"Mheshimiwa Naibu spika sitaki sana kubishana na kiti chako lakini niseme mimi ni miongoni mwa wahanga wakubwa sana wa suala hili la mikutano ya hadhara, nikiwa kama katibu mkuu wa Baraza la wanawake CHADEMA wakati huo kabla sijaondolewa kwenye chama changu...'' Alisema Kishoa
Spika alimkatisha na kusema, "Mheshimiwa Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako, kama umeondolewa kwenye chama chako usingekuwa humu ndani kwa sababu wabunge waliokuwemo humu ndani wote wana vyama vya siasa ndivyo katiba yetu inavyosema na ndiyo katiba yetu inavyosema ile katiba hairuhusu mbunge ambae hana chama"
Kishoa: Mheshimiwa Spika hatujaondolewa kwenye chama, bado mimi ni mwanachama wa CHADEMA kwasababu tuko kwenye taratibu na tumekata rufaa na taratibu zinaendelea
Tulia: Mheshimiwa ngoja, waheshimiwa wabunge taarifa rasmi za Bunge ni kumbukumbu, umezungumza kabla ya sentesi yako ya sasakwamba kabla hujaondolewa kwenye chama chako, futa hiyo kauli kwanza halafu umalizie mchango wako kwasababu ndani ya bunge hili tutakuwa tunavunja katiba kama tutakuwa na wewe humu kama umeshaondolewa na chama chako
Kishoa: Mheshimiwa naibu spika nimefuta
Hoja ya Mbunge Jesca ilianzia kwenye haki ya kufanya mikutano ya kisiasa na kukumbana na miongozo mingi kutoka kwa wabunge wakimtaka afute kauli. Kishoa amesema nchi ikiongozwa kwa matamko badala ya katiba itapotea.
Akifafanua kuhusu mikutano ya vyama vya kisiasa, Naibu spika amesema mikutano hiyo ipo kwenye katiba za vyama vya siasa na hufanyika kwa vipindi na sio ya hadhara akitolea mfano mkutano mkuu wa CCM uttakaofata utafanyika JK Convection centre na huo ndio unaitwa mkutano wa CCM lakini Rais akienda mahali unakuwa mkutano wa Rais na si CCM.
MY TAKE:
Je, CHADEMA haijatarifu bunge kuhusu kuwavua uanachama Wabunge 19 wa CHADEMA?
Zaidi soma: Naibu Spika Dr. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako
Ataenda kuolewa ampikie Mme wake,ndio kazi naomba 1 ya mwanamke yoyote hapa duniani kuwa msaidizi wa mwanaume.Tulia endelea kuwafanganya wananchi. Halima mdee kwà mfano 2025 anaelekea wapi? Na kwà chama gani?au utampa jumbo la mbeya mjini? Halima bado ni mdogo kwà umri na hana ajira nyingine ataelekea wapi? Bora uwaeleze mapema kuwa hawana chama ilinwaanze kuhipanga kisiasa na kimaisha. Wengine waanze kuolewa au la.
Ni jambo jema!
Baada ya hotuba ya jana kuna kila dalili covid 19 watatimuliwa bungeni.
Aka Tumbili ataisoma namba T 2020 RAS
🤣🤣🤣WABUNGE KUPITIA chama cha Ndugai (chachandu)
Covid19 ni wabunge wa Ndugai. Na Ndugai yupo juu ya Katiba. So, wacha waendelee kula mema ya nchi.
Chadema itapata wabunge halali!Then familia yako ndio itakuwa na maisha bora?au ndio ajira zitapatikana?
Hilo liko wazi,huoni anavyozidi kuumuka mashavu kwa fedha ya dhulmaJe, kuna uwezekano kwamba kila mwezi Ndugai anachukua mgao wake toka kwa COVID-19?