Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako

Ni jambo jema!

Baada ya hotuba ya jana kuna kila dalili covid 19 watatimuliwa bungeni.

Aka Tumbili ataisoma namba T 2020 RAS
Kama kweli chadema watakubali kukutana na mh rais hawa covid 19 watakuwa kwenye hatihati ya kubaki.
 
Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo bungeni.

"Mheshimiwa Naibu spika sitaki sana kubishana na kiti chako lakini niseme mimi ni miongoni mwa wahanga wakubwa sana wa suala hili la mikutano ya hadhara, nikiwa kama katibu mkuu wa Baraza la wanawake CHADEMA wakati huo kabla sijaondolewa kwenye chama changu...'' Alisema Kishoa

Spika alimkatisha na kusema, "Mheshimiwa Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako, kama umeondolewa kwenye chama chako usingekuwa humu ndani kwa sababu wabunge waliokuwemo humu ndani wote wana vyama vya siasa ndivyo katiba yetu inavyosema na ndiyo katiba yetu inavyosema ile katiba hairuhusu mbunge ambae hana chama"

Kishoa: Mheshimiwa Spika hatujaondolewa kwenye chama, bado mimi ni mwanachama wa CHADEMA kwasababu tuko kwenye taratibu na tumekata rufaa na taratibu zinaendelea

Tulia: Mheshimiwa ngoja, waheshimiwa wabunge taarifa rasmi za Bunge ni kumbukumbu, umezungumza kabla ya sentesi yako ya sasakwamba kabla hujaondolewa kwenye chama chako, futa hiyo kauli kwanza halafu umalizie mchango wako kwasababu ndani ya bunge hili tutakuwa tunavunja katiba kama tutakuwa na wewe humu kama umeshaondolewa na chama chako

Kishoa: Mheshimiwa naibu spika nimefuta

Hoja ya Mbunge Jesca ilianzia kwenye haki ya kufanya mikutano ya kisiasa na kukumbana na miongozo mingi kutoka kwa wabunge wakimtaka afute kauli. Kishoa amesema nchi ikiongozwa kwa matamko badala ya katiba itapotea.

Akifafanua kuhusu mikutano ya vyama vya kisiasa, Naibu spika amesema mikutano hiyo ipo kwenye katiba za vyama vya siasa na hufanyika kwa vipindi na sio ya hadhara akitolea mfano mkutano mkuu wa CCM uttakaofata utafanyika JK Convection centre na huo ndio unaitwa mkutano wa CCM lakini Rais akienda mahali unakuwa mkutano wa Rais na si CCM.

MY TAKE:

Je, CHADEMA haijatarifu bunge kuhusu kuwavua uanachama Wabunge 19 wa CHADEMA?

Zaidi soma: Naibu Spika Dr. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako

1619179996055.png
 
Kwamba wabunge maCOVID 19 na maspika wabunge ni wazalendo kuliko katiba yenyewe.

Ni mambo ya kusikitika sana mhimili unapokuwa laghai kwa kiwango hiki
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ndugai na Tulia wote ni waongo wakubwa.
1619180271164.jpeg
 
Ha ha ha kazi iendelee
Namshangaa Naibu Spika. Msemaji kasema alishaondolewa kwenye Chama Chake, badala ya kuchukua hatua stahiki kwa asiye na chama kuwa bungeni yeye anamlazimisha afute kauli na aseme yeye ana Chama vinginevyo anamuondoa bungeni kuogopa kuvunja katiba. Katiba ilishavunjwa siku nyingi. Mnachoendelea nacho hata mkiwalazimisha wafutaga kauli ni dhambi tu. Hakuna kingine
 
Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo bungeni.

"Mheshimiwa Naibu spika sitaki sana kubishana na kiti chako lakini niseme mimi ni miongoni mwa wahanga wakubwa sana wa suala hili la mikutano ya hadhara, nikiwa kama katibu mkuu wa Baraza la wanawake CHADEMA wakati huo kabla sijaondolewa kwenye chama changu...'' Alisema Kishoa

Spika alimkatisha na kusema, "Mheshimiwa Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako, kama umeondolewa kwenye chama chako usingekuwa humu ndani kwa sababu wabunge waliokuwemo humu ndani wote wana vyama vya siasa ndivyo katiba yetu inavyosema na ndiyo katiba yetu inavyosema ile katiba hairuhusu mbunge ambae hana chama"

Kishoa: Mheshimiwa Spika hatujaondolewa kwenye chama, bado mimi ni mwanachama wa CHADEMA kwasababu tuko kwenye taratibu na tumekata rufaa na taratibu zinaendelea

Tulia: Mheshimiwa ngoja, waheshimiwa wabunge taarifa rasmi za Bunge ni kumbukumbu, umezungumza kabla ya sentesi yako ya sasakwamba kabla hujaondolewa kwenye chama chako, futa hiyo kauli kwanza halafu umalizie mchango wako kwasababu ndani ya bunge hili tutakuwa tunavunja katiba kama tutakuwa na wewe humu kama umeshaondolewa na chama chako

Kishoa: Mheshimiwa naibu spika nimefuta

Hoja ya Mbunge Jesca ilianzia kwenye haki ya kufanya mikutano ya kisiasa na kukumbana na miongozo mingi kutoka kwa wabunge wakimtaka afute kauli. Kishoa amesema nchi ikiongozwa kwa matamko badala ya katiba itapotea.

Akifafanua kuhusu mikutano ya vyama vya kisiasa, Naibu spika amesema mikutano hiyo ipo kwenye katiba za vyama vya siasa na hufanyika kwa vipindi na sio ya hadhara akitolea mfano mkutano mkuu wa CCM uttakaofata utafanyika JK Convection centre na huo ndio unaitwa mkutano wa CCM lakini Rais akienda mahali unakuwa mkutano wa Rais na si CCM.

MY TAKE:

Je, CHADEMA haijatarifu bunge kuhusu kuwavua uanachama Wabunge 19 wa CHADEMA?

Zaidi soma: Naibu Spika Dr. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako
1619180681781.png
 
Tulia endelea kuwafanganya wananchi. Halima mdee kwà mfano 2025 anaelekea wapi? Na kwà chama gani?au utampa jumbo la mbeya mjini? Halima bado ni mdogo kwà umri na hana ajira nyingine ataelekea wapi? Bora uwaeleze mapema kuwa hawana chama ilinwaanze kuhipanga kisiasa na kimaisha. Wengine waanze kuolewa au la.
Ataenda kuolewa ampikie Mme wake,ndio kazi naomba 1 ya mwanamke yoyote hapa duniani kuwa msaidizi wa mwanaume.
 
Ni jambo jema!

Baada ya hotuba ya jana kuna kila dalili covid 19 watatimuliwa bungeni.

Aka Tumbili ataisoma namba T 2020 RAS

Then familia yako ndio itakuwa na maisha bora?au ndio ajira zitapatikana?
 
Back
Top Bottom