Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Sio huyu na nyie acheni unafiki ni yule hashimu seif aldine ila hata huyo naibu ni swala la muda tu yupo kwenye rada za mossadiHuyu jamaa situliambia ameuawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio huyu na nyie acheni unafiki ni yule hashimu seif aldine ila hata huyo naibu ni swala la muda tu yupo kwenye rada za mossadiHuyu jamaa situliambia ameuawa?
Sio huyu ni yule Hashimu Sefu aladineNdio mjuee uwongo wa Israel huyu jamaa walituambia wamemuua katika shambulio huko Beirut.
Israel imeshatundika hadi bendera zake hapo kusini mwa lebanon halafu huyu naibu ataliwa kichwa ni swala la muda tuBila shaka Natenyahu naye alikuwa mbele ya runinga:
View attachment 3118649
Kwa muda wote hadi sasa Israel imeshindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon.
Uwezo wao uko pale pale, na mpambano kaskazini mwa Israel yamepanuka.
Hawajachagua kiongozi na kwa wakati wao watamchagua.
Kamwaga pongezi za kutosha kwa HAMAS, Houthi na Iran.
Hezbollah itapigana hadi tu, kuwe na ceasefire Gaza.
Hata huyu katajwa sana humuSio huyu ni yule Hashimu Sefu aladine
Israel imeshatundika hadi bendera zake hapo kusini mwa lebanon halafu huyu naibu ataliwa kichwa ni swala la muda tu
Sasa kwa akili yako ya kuvukia barabara hamas wasiokuwa hata na kifaru kimoja unataka uwafananishe na hizbollah hapa kitawakaTambo hizi zilikuwa hivyo hivyo kwa Gaza! Leo kiko wapi?
Endeleeni kuwatia moyo hao magaidi dini wenu
Sio huyo wamesema yule Hashem Saif Din week nzima wanasema wamemuwa leo wanasema hawana uhakika kama wamemuwa 😄
Huyu pia walisema ka resigned wakatoa topic hapa nikamwambia mtoa mada punguza uwongo si kweli. Wengine wakasema hichi kizee kimeogopa kufa 😄
Kwa tarifa yao wajinga walio sema huyu ka resigned na wengine kaogopa nafasi ya kuwa kiongozi wa Hezbullah nawapa tu tarifa huyu ndio Kiongozi wa Hezbullah kwa sasa bada ya Nasurlah dalili hi hapa.
View: https://youtu.be/bhysZ8DQiFQ?si=NAQzN-nACicFHtxn
Sio huyo wamesema yule Hashem Saif Din week nzima wanasema wamemuwa leo wanasema hawana uhakika kama wamemuwa 😄
Huyu pia walisema ka resigned wakatoa topic hapa nikamwambia mtoa mada punguza uwongo si kweli. Wengine wakasema hichi kizee kimeogopa kufa 😄
Kwa tarifa yao wajinga walio sema huyu ka resigned na wengine kaogopa nafasi ya kuwa kiongozi wa Hezbullah nawapa tu tarifa huyu ndio Kiongozi wa Hezbullah kwa sasa bada ya Nasurlah dalili hi hapa.
View: https://youtu.be/bhysZ8DQiFQ?si=NAQzN-nACicFHtxn
Wewe hujui U.S., na European na Mataifa ya kiarab ndio wame proposed a three week ceasefire between Israel and Hezbollah in Lebanon as part of a bid to clear the way for negotiations and avert all out war hata Nasurlah alikubali hio. Israel ndio akakataa hio ni kwamba kama vita vya Gaza vitaendelea hapo ndio bada ya siku 21 vianze upya sa kipi kipya hapo Hezbullah amekubali hio proposal sababu kabembelezwa akikubali kule Gaza vita vitasimamishwa pia bada ya mda wa hizo week tatu. Kama vita havikusimama waendelee na vita. Mlidhani ni Hezbollah ndio kaomba 😄Vipi ule msimamo wao wa Kuacha uchokozi hadi Vita ya Gaza isimame wameutia kwapani hahaha wanataka ceasefire na Israel Gaza isihusishwe tena
Hezbollah deputy leader Naim Qassem said in comments broadcast on Tuesday that his movement supports efforts to reach a ceasefire for Lebanon, but for the first time omitted any mention of a Gaza truce deal as a pre-condition to halting the group’s fire on Israel.
Qassem said Hezbollah supported efforts by Speaker of Parliament Nabih Berri, a Hezbollah ally, to secure a halt to fighting, which has escalated in recent weeks with Israeli ground incursions and the killing of some of Hezbollah’s top leaders, including secretary general Hassan Nasrallah.
For the latest updates on the Israel-Palestine conflict, visit our dedicated page.
“We support the political activity being led by Berri under the title of a ceasefire,” Qassem said in a 30-minute televised address.
“In any case, after the issue of a ceasefire takes shape, and once diplomacy can achieve it, all of the other details can be discussed and decisions can be taken,” he said. “If the enemy (Israel) continues its war, then the battlefield will decide.”
Hezbollah began launching missiles at Israel a year ago in support of its ally Hamas, which is at war with Israel following the Hamas-led attack on southern Israel on Oct. 7, 2023.
Hezbollah’s top leaders have repeatedly stated over the last year that the group will not stop its fire until a Gaza ceasefire was reached but Qassem’s address appeared to mark a departure from that policy.
Israeli strikes have hit the group’s stronghold in Beirut’s southern suburbs on a nightly basis, and ground incursions expanded on Tuesday to additional parts of Lebanon’s southern border with Israel.
For all the latest headlines follow our Google News channel online or via the app.
Qassem simultaneously struck a defiant tone, saying the group’s capabilities were intact, that it had increased its rocket fire on Israel and that it was itching for “clashes” with Israeli troops in Lebanon.
Read more:
Israel starts ground operations in southwest Lebanon as Iran delivers warning
Israeli military says it eliminated commander of Hezbollah HQ in Beirut strike
Hezbollah tells fighters not to attack Israeli troops near peacekeepers
Magaidi hawana nafasi dunia ya leo. Watajitutumua lakini ni jambo la muda tuu. Sasa hivi hakuna njia rahisi kwa Hezebolah kuongeza silaha. Stock waliyojiwekea kwenye godows inasambaratishwa, mahandaki yanafumuliwa. Ni jambo la muda tuu. Iraq na Sadam wao ilitengeneza scud kuimaliza Israel, yuko wapi sasa. Baada ya 2 yrs hivi hutasikia kitu kinaitwa Hamas au Hezeboulah.kidume huyu hapo...haya sasa kiongozi wa upinde benja utafanya nini sasa kujiona unawapiga kumbe unapigika wewe bila kujijua,na hao majasusi mnaotudanganya mliwaingiza kule miezi kadhaa walienda kufanya mlichowatuma kweli maana mission zenu zinafeli tu
Magaidi hawana nafasi dunia ya leo. Watajitutumua lakini ni jambo la muda tuu. Sasa hivi hakuna njia rahisi kwa Hezebolah kuongeza silaha. Stock waliyojiwekea kwenye godows inasambaratishwa, mahandaki yanafumuliwa. Ni jambo la muda tuu. Iraq na Sadam wao ilitengeneza scud kuimaliza Israel, yuko wapi sasa. Baada ya 2 yrs hivi hutasikia kitu kinaitwa Hamas au Hezeboulah.
Hizbollah wameamua kufa na kuwapigania Wapalestina, Iran wameamua kuumia, kuteseka na kufa kuwapigania Palestina.
Dunia upande mwingine imewaacha wapalestina na kuamua kusimama na mwenye nguvu Israeli.
Kwani hawa Hizbollah na Iran siwangeamua tu kuendelea zao na maisha na kuachana na mambo ya Palestina? wameamua kutokubali uonevu baadala yake wanahitaji kuona haki ya waPalestina ambayo Dunia haitaki kuona inatokea.
Wapalestina wanahitaji Taifa lao nao waendelee na maisha yao na si kuishi chini ya slave masters-Israel, Dunia inahitaji kuwa na suluhu dhidi ya maisha ya wapalestina.
Usituongopee wewe.Israel imeshatundika hadi bendera zake hapo kusini mwa lebanon halafu huyu naibu ataliwa kichwa ni swala la muda tu
Baada ya 2 yrs hivi hutasikia kitu kinaitwa Hamas au Hezeboulah...sijui kama kweli itakuwa hivyo na hata ikiwa watakuja wengine kwani Hamas na Hezbollah sio wa kwanza ati!Magaidi hawana nafasi dunia ya leo. Watajitutumua lakini ni jambo la muda tuu. Sasa hivi hakuna njia rahisi kwa Hezebolah kuongeza silaha. Stock waliyojiwekea kwenye godows inasambaratishwa, mahandaki yanafumuliwa. Ni jambo la muda tuu. Iraq na Sadam wao ilitengeneza scud kuimaliza Israel, yuko wapi sasa. Baada ya 2 yrs hivi hutasikia kitu kinaitwa Hamas au Hezeboulah.
Usituongopee wewe.
Hakuna pahala Israel imetundika bendera hapo kusini mwa Lebanon.
Kuna aina mbili za vita zinapiganwa na IDF Lebanon one is elimination of Hizbullah's political leaders and top millatary commandeers in Beirut which is being done by IAF and second is sweeping the southern Lebanon using IDF ground forces.
Baada ya 2 yrs hivi hutasikia kitu kinaitwa Hamas au Hezeboulah...sijui kama kweli itakuwa hivyo na hata ikiwa watakuja wengine kwani Hamas na Hezbollah sio wa kwanza ati!