Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.
halafu amevaa kanzu kupotezea
dhambi haijifichi, hata sura yake inamsuta, huyu hafai uongozi
angekuwepo mzee kifimbo huyu angepelekwa exile nchi kama Macedonia,sijawahi kuona baraza la mawaziri la aina hii katika historia ya nchi hii, sijui haya mambo yataisha lini
wacha nikanywe Safari beer kiu imenizid sasa
Malima mshamba angetuuliza wataalamu wa machangu ukifika naye geto mizigo yote unakabidhi reception na nguo zake
Mazingira yanaonyesha alikuwa na mpango wa kando, usiku ktk mambo yetu akajifanya mtt na kuanza kunyonya maziwa ya huyo mwenzake, matokeo yake akapitiwa na usingizi mkubwa huku mwenzie akichukua vitu vya Mh ili akamui
ADAM KIGHOMA MALIMA na MWIGULU LAMECK NCHEMBA ni miongoni mwa wanasiasa vijana na wasomi ambao ni damu mpya kwenye siasa za nchi yetu, ila wanzania wengi hatufahamu vizuri wapi walipotokea wanasiasa hawa kabla ya kufika hapa walipo. wadau, yeyote mwenye wasifu na historia za wanasiasa hawa vijana, naomba azimwage jamvini ili tupate kuwafahamu vizuri.
Jina lake ni lameck madelu, hakika huyu ana kesi ya kujibu kwa kuvunja sheria inayomzuia mwanafunzi kukariri mtihani wa darasa la saba. alitumia jina la mwigulu nchemba ku-camouflage mtego huo. ili kuyarejesha majina yake yanayofahamika naamini aliapa kwa korti, sitoweka details nyingi zaidi kwani nasema huyu ana kesi ya kujibu!!!!! ikithibitika afutiwe vyeti vyake vyote. anakera kwa kufanywa wagon la rushwa!!!!!! kafika huko kirushwa rushwa.
Namfahamu toka akichunga vitoto vya mbuzi!
nimesikia wamekamata watu watano kwa kuhusika na huu wizi, isije kuwa Polisi wanafanya kazi ambayo itapelekea watu kupoteza kabisa imani na jeshi hilo.