Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,075
Kimbunga huu msamiati mimi umenishinda kuutegua, unawe kufafanua?, au kama ni too graphic ni-pm mkuu. Ila na sisi wanaume kweli ni manyang'au. Yaani unachukua dude hulijui unalala nalo aaarrg, ingekuwa nchi za wawajibika huyu alikuwa anakabidhi barua ya kujiuzulu leo. Maana amekopa Public trust, ila kobongobongo twende kazi tu maana mteuliwa unaweza kuta ni reflection ya mteuzi.
Mkuu ni mapowuuuda yanawekwa kwenye nyonyo; sasa ukijifanya wewe ndio wewe unalamba kila kitu ukaamua kunyonya tits basi unakumbana na powuuuda unalala wa pono. Jamaa anajisevia.