Mmeku Tukulu
Member
- Feb 11, 2012
- 92
- 27
Ni kweli inaweza mkuta yeyote. Tofauti ni jinsi kila mtu anavolishughulikia hilo soo.
Malima ameshindwaje kuhandle hili swala lisijulikane? Kashindwa kumuita hata mhudumu wa kiume na kumuweka sawa amsetiri na nguo zake? Maanake baada ya kukuta kaibiwa, angetakiwa afikirie ni namna gani atakwepesha aibu kwa Serikali... Badala yake inaonekana alichanganyikiwa na mpaka akakutwa. Na sasa ni habari inayojulikana kitaifa.
Swali langu. Kama mtu anashindwa ku-handle mambo yake binafsi, atawezaje kuongoza wizara nyeti kama ya Nishati na Madini.
Umeliangalia kwa macho ya kikubwa hapa lakini shida ni kuwa yeye Malima hana upeo huo wa mkubwa staha yake kuficha aibu.