Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Confirmed alikuwa na jimama..kuna sehemu moja maarufu kwa machangudoa pale Morogoro..wakuu naomba mnikumbushe mtu kanitajia halafu imenitoka tena.
 
Eeeeeh Mungu wangu tunusuru na Kimbunga. Laptop mbili zimesheheni nyaraka za Nchi kuanzia Bulyanhulu, Nyamongo, Mwanakitolyo, Tunduru (urani) hadi Chunya. Hapo bado nyaraka za utafiti wa mafuta na gas. Hawa watoto wabaya!

kazi anayo.
 
Kwa Morogoro hilo ni jambo la kwaida. Ila kwa sasa limemkamata celebrity fulani. Lakini watu walishalizwa mji huo sana tu, wadada wa Kaumba, Kammbarage n.k. Kuna mtu Laptop ilikombwa mpaka sasa hajawahi kuiona. TAHADHARI: UKIWA NAYE EPUKA CHAKULA YA MTOTO, FUNGUO WA CHUMBA WEKA UNAPOJUA MWENYEWE, KAA VIZURI NA MLINZI -MWAMBIE KUWA MDADA ASITOKE BILA WEWE KUMSINDIKIZA.
 
Confirmed alikuwa na jimama..kuna sehemu moja maarufu kwa machangudoa pale Morogoro..wakuu naomba mnikumbushe mtu kanitajia halafu imenitoka tena.

Kaumba, Kambarage probably ?
 
Alikuwa anapata utamu huku yuko pombe,mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bila shaka baada ya wiki kama moja hivi, tutaanza kupata humu data za wizarani na mikataba mbalimbali iliyomo kwenye laptop hiyo.
 
jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. Vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.


nasikia wamemla tigo
 
Back
Top Bottom