Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Confirmed alikuwa na jimama moja jeupe toka kahumba..na inadaiwa hilo jimama ni kawaida yake na walim-caution mapema watu wanaoifahamu ile sehemu pale Morogoro.Ni maharufu kwa wanawake wanaojiuza yaani makahaba na machangudoa..huyu mwanamke katumia vyema siku ya mwanamke duniani kwa kuonyesha wanaweza wala hawaitaji kuwezeshwa.

Kama ni hivyo basi huyo changu atapatikana, na vyote vilivyoibwa vitaonekana.
 
Malima anadai kuwa kwenye jamii forum wanadai hana hata nguo! Kumbe vijamaa huwa vinasoma, safi sana cha moto atakiona
 
Duh! Haya mambo bwana..... yanaweza mkuta mwanaume yeyote ....!

viongozi kama hawa wanatakiwa kujiuzulu wenyewe, hatuwezi kuongozwa na wahuni jamani. Kiongozi wa nchi unatakiwa kuwa na privacy ya hali ya juu, na ukishikwa kwenye uchafu wa kihuni kama huu, ni kujiuzulu tu. Sasa utayasikia magamba yanakaa kimya,you are stupid viongozi wa ccm.
 
Ni kweli alikuwa na computa mbili zimelambwa, paspoti yagenda, kadi za benki zagenda, digital recorder zagenda, dawa za pressure zimeenda ila hajataja kima cha pesa kilichopokwa.

Kama nilivyosema hapo juu begi moja limeishapatikana!
 
Begi lenye paspoti limepatikana mabegi mawili bado hayajapatikana.
 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi

dah haya mambo ya ngono yanapeleka watu pabaya ..
 
Hivi alishindwaje kumpigia simu ili aletewe nguo chumabani ili kuepuka hii aibu
Umeambiwa kaibiwa kila kitu, sasa simu atatoa wapi!!?na hiyo ya mezani hotelini ndiyo lazima awaambie reception nao ndiyo wameuza hiyo habari!!
Huyu demu atakuwa wa CHADEMA tu na lengo lake ni kuwachafua na kugombanisha viongozi wa serikali na wananchi, ni mchochezi huyu demu!! Ila leo nawashauri malaya wote wa Kaumba, Four Stars, Chipukizi, Ze Klub etc wasitoke, maana wote watasombwa ndani!!
 
hiyo ni geresha tu hilo begi lenye passport halikuibiwa uongo mtupu.
 
Nangojea picha Risasi,Uwazi na ijumaa.. I hope waliweza kuwahi eneo la tukio kwa coverage!

Hivi hakua na Nyara za seriali? unaweza kukuta huyo changu kabeba mpaka mikataba feki ya migodi mipya ya Handeni na Singida.
 
Ni kweli alikuwa na computa mbili zimelambwa, paspoti yagenda, kadi za benki zagenda, digital recorder zagenda, dawa za pressure zimeenda ila hajataja kima cha pesa kilichopokwa.

Kama nilivyosema hapo juu begi moja limeishapatikana!

hizo dawa za presha anakunywa yeye au??mbona ni mdogo sana kunywa dawa kama hizo au ni hizo laana za watanzania
 
Alijuawaje kuwa JF wanamjadili?

Anapitia humu mkuu. Anasema nguo zipo wamechukua jinsi moja na vitu vingine. Silaha zake wameziacha. wamechukua documents. Anasema anashangaa haki ya mungu, wameacha nastola na bunduki kubwa wataalamu wanaamini ni wadokozi tu na si majambazi kwa kuwa majambazi wangechukua silaha. Anahisi watu walimuona baada ya kuchungulia na kukuta amelala ama ni watu waliokuwa na taarifa na wanajua nini walichokuwa wanakifanya.
 
Viburudisho vya kibongo hivyo..mshiko ulikuwa mdogo kazi ngumu sasa kajimuvuzishia masalia
 
Back
Top Bottom