Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 10,028
- 5,870
Anapitia humu mkuu. Anasema nguo zipo wamechukua jinsi moja na vitu vingine. Silaha zake wameziacha. wamechukua documents. Anasema anashangaa haki ya mungu, wameacha nastola na bunduki kubwa wataalamu wanaamini ni wadokozi tu na si majambazi kwa kuwa majambazi wangechukua silaha. Anahisi watu walimuona baada ya kuchungulia na kukuta amelala ama ni watu waliokuwa na taarifa na wanajua nini walichokuwa wanakifanya.
kahaba bastola au hiyo AK-47 ya nini? hana shida nazo.....hahahhaa