Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Eeeeeh Mungu wangu tunusuru na Kimbunga. Laptop mbili zimesheheni nyaraka za Nchi kuanzia Bulyanhulu, Nyamongo, Mwanakitolyo, Tunduru (urani) hadi Chunya. Hapo bado nyaraka za utafiti wa mafuta na gas. Hawa watoto wabaya!

Huyu naye!
Lap top mbili za nini sasa kama siyo ulimbukeni!Hata tukiacha kujadili hilo swala la aliyemuibia kuna mambo mengine huwezi kueleweka hata kidogo hasa kama wewe ni kiongozi!Unachanganya vipi mambo ya kazi na mambo yako mengine ya binafsi ukijua una dhamana kubwa mikononi mwako?Viongozi wetu bwana,ijui ni lini watajifunza.Hizo semina elekezi inabidi wapewe maelekezo hadi kwenye ishu kama hizi.
Imagine mada kama "Mambo ya kuzingatia unapokuwa kwenye shughuli zisizo rasmi.."..sijui nani atawapa hilo somo lol
 
jamaa wanazidi tu kumchanganya kikwete.!!

Da!! Nadhani JK anakazi ya kufanya kwenye baraza lake la mawaziri..hii ni aibu kwa kiongozi,labda kama awe ameibiwa kwa mazingira ya kawaida..lakini kwa style hii na habari ilivyo ni hakika alikuwa na jimama huyu.
 
nimetoka hapo nashera naona hadi mkuu wa mkoa yupo ,manjagu kilakona sijui wanapeleleza nini! Naskia laptop na baistola zimepatikana bado madolari kibao
 
Huyu atakuwa Kaibiwa na dada powaas.....kapewaa mavitu akapitiwa na usingiziiii....ndio Zao machangu ....

Watoto wa mjini ...ukizidiwa ukiwa safarini ukichukua Hawa waduduz ...unaficha kila kitu....unanabakisha ya kulipa tu.....na unahakikisha ukisharidhika una Fu hulka mlango anaondoka ..unafunga...hata hawe mzuri vipi.....huwezi lala kwa Uhuru Hadi asubuhi na mtu usiyemjuwa....
Malima mshamba...

Ukikamata mdudu katika hotel kubwa kama Nashera mbinu nyingi zinagoma. Nishalala pale last December mavitanda ni makubwa huwezi kusogeza mlangoni kuzipa na pia yako fixed fulani hivi. Pia huwezi kukabidhi funguo mapokezi kwa kuwa ile milango ya Nashera inajilock kwa ndani ili mtu wa nje asifungue bt mtu wa ndani anafungua tu bila funguo. Kwa kuwa ana mkwanja angechukua vyumba viwili, hiyo SUITE yake na SINGLE ya kawaida ya KUPIGIA KAZI... Ukiamua kupiga kazi jipange Malima na uangalie RISK zote sio kuingia kichwakichwa, braza ako Ngeleja atakucheka sana ofisini j3
 
Confirmed alikuwa na jimama..kuna sehemu moja maarufu kwa machangudoa pale Morogoro..wakuu naomba mnikumbushe mtu kanitajia halafu imenitoka tena.

Duuuu aiseee huyo dada tunamuomba akiuza hyo laptop atoe data zote aziweke kwenye extrnal harddisk then awe anaupload mdogo mdogo madocuments yote,daa mseti kalamba kila kitu hadi mapete ya sheikh yahya khaaaa,ni somo tosha kwa wakware!!
 
Confirmed alikuwa na jimama moja jeupe toka kahumba..na inadaiwa hilo jimama ni kawaida yake na walim-caution mapema watu wanaoifahamu ile sehemu pale Morogoro.Ni maharufu kwa wanawake wanaojiuza yaani makahaba na machangudoa..huyu mwanamke katumia vyema siku ya mwanamke duniani kwa kuonyesha wanaweza wala hawaitaji kuwezeshwa.
 
Huyu naye!
Lap top mbili za nini sasa kama siyo ulimbukeni!Hata tukiacha kujadili hilo swala la aliyemuibia kuna mambo mengine huwezi kueleweka hata kidogo hasa kama wewe ni kiongozi!Unachanganya vipi mambo ya kazi na mambo yako mengine ya binafsi ukijua una dhamana kubwa mikononi mwako?Viongozi wetu bwana,ijui ni lini watajifunza.Hizo semina elekezi inabidi wapewe maelekezo hadi kwenye ishu kama hizi.
Imagine mada kama "Mambo ya kuzingatia unapokuwa kwenye shughuli zisizo rasmi.."..sijui nani atawapa hilo somo lol

Ha ha haa.....maujiko kama ya kuwa na simu mbilimbili
 
inawezekana na yeye yuko hapahapa anachangia mada, you never know

There are currently 358 users browsing this thread. (103 members and 255 guests)
 
nimetoka hapo nashera naona hadi mkuu wa mkoa yupo ,manjagu kilakona sijui wanapeleleza nini! Naskia laptop na baistola zimepatikana bado madolari kibao

Alikuwa na bastola...!! Zimepatikana wapi?
 
malima anajieleza mbele ya waandishi wa habari
 
Raha imegeuka kuwa karaha! pole sana mzinzi mwenzangu!
Ningekuwa Adam nikichukua mrembo nahamishia kitanda mlangoni. hakuna mtu kutoka.

Funga chumba wakati anaoga, funguo ficha unakofahamu wewe, usiguse chakula ya mtoto, kaa vizuri na mlinzi, mpe rushwa halafu mwambie kuwa huyo mdada asitoke bila wewe kumsindikiza. Asubuhi ukiamka kabla hajatoka kagua vitu vyako vyote kabla hajaondoka, maana mwingie akikuta umeficha ufunguo atakuibia mkukuta na kuuficha, ukifungua mlango asubuhi akupa ka......moja, ukichoka tu anakupiga mabusu ya kukuchanganya na kukuacha unasilikizia busu.
 
Confirmed alikuwa na jimama..kuna sehemu moja maarufu kwa machangudoa pale Morogoro..wakuu naomba mnikumbushe mtu kanitajia halafu imenitoka tena.

Viunga vya Kaumba hivyo
 
Back
Top Bottom