Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Vipi zile pete zake wamemuachia?
Nazo zimechukuliwa.
Vipi zile pete zake wamemuachia?
mh adam malima anahojiwa juu ya upotevu wa mali zake katika hotel ya NASHERA, ameitisha kikao na waandishi wa habari, source itv
Radio One inaripoti hivi sasa ya kuwa Naibu Waziri wa Nishati kaibiwa kila kitu katika hoteli aliyolala pale Morogoro mjini..........barabara ya kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa................yaelekea kaibiwa na mtu aliyokuwa naye kwa maoni yangu........labda chapa mtu aliyekuwa akimpa maraha..................lol
kasema anachukua bunduki zote kwa sababu anasafiri usiku na gari la thamani kubwa!
Magamba wana vituko! mbona hizo bunduki hazikumsaidia yeye kupambana na kahaba!
Amemtetea Meneja wa Hotel kuwa hakumkuta bila nguo ila Meneja alikosea lugha...
Pia anadai anatembea na BUNDUKI na Pistol kwa kuwa "Haya mambo ukiyachukulia kimzaha mzaha adui yako hujui anakuja na Silaha gani LOL!
sijui kama alitumia condom?Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
Next tym wawaibie hadi roho zao cuz wamezidi *****! Ataweka wapi uso wake akifika kwa mkewe? Na wanaomfahamu je? Mshahara wa ukahaba tena hasa kwa kiongozi mkuu km yeye! Pyuu! Aibu!
Hii inanikumbusha riwaya ya 'NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE' - by Edwin Semzaba. Ngoswe katumwa kwenda kufanya sensa kafikia kwa mwenyekiti wa kijiji kakarimiwa akaona haitoshi akaanza penzi na binti wa mwenyekiti, kamaliza sensa akapanga kutoroka na binti wa mwenyekiti kurudi nae mjini, mwenyekiti kugundua akachukua makaratasi ya sensa na kuyatia moto. Kwa mtu yeyote yule aliyefika form 4 atakuwa amesoma fasihi na kukutana na kitabu hiki cha Ngoswe ni lazima atakuwa makini.
sijui kama alitumia condom?
... wakati hana laptop? Hapa kuna harufu ya kufuatiliana hizi ID, ngoja niache kuchangia thread hii wasije wakanitembelea huku Arumeru
Ni Nashera.
Imejengwa kwenye ardhi iliyokuwa shamba la magereza!!!!!
Watanzania?????
Sasa bastola aiweke kiunoni wakati unaambiwa alikuwa na jimama jeupe la pale Kaumba...ikiwafyatukia viunoni je!Mkuu amekanusha kuwa na kahaba.
Tatizo lingine ni kwamba anakuwaje aache bastola bila ulinzi? Nijuavyo bastola inatakiwa iwe sehemu yako, iwe mu kiuno muda wote. Bastola ni msalaba inabidi uubebe hata kama huendi Golgota.