Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,075
Vipi zile pete zake wamemuachia?
Mkuu amesema wamechukua pete mbili za thamani sana ila siyo thamani ya pesa! Moja aliachiwa na marehemu baba yake na nyingine alipewa na mkewe kwa mahaba tu. Sasa sikujua kama alikuwa amezivaa ama zilikuwa kwenye begi. Kesho tuangalie picha wakati anaongea na waandishi wa habari kama atakuwa na pete kama zile alizokuwanazo huko Chunya.