Hivi hayo mapete mbona anayalilia sana, yana nini?Mkuu amesema wamechukua pete mbili za thamani sana ila siyo thamani ya pesa! Moja aliachiwa na marehemu baba yake na nyingine alipewa na mkewe kwa mahaba tu. Sasa sikujua kama alikuwa amezivaa ama zilikuwa kwenye begi. Kesho tuangalie picha wakati anaongea na waandishi wa habari kama atakuwa na pete kama zile alizokuwanazo huko Chunya.
Sasa ndo napata picha kwa nini viongozi wengi wa ma-gamba wana mapete ambayo si ya kawaida.