Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Lahaula! Bunduki kubwa la nini tena nchi ya amani yarabi?
Hapo unaona contradiction ya matamshi yao kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani..wanatudanganya hivyo.
sisi makabwela tukitembea hata na kisu inakuwa nongwa! Nasikia kati ya mabegi yaliyoibiwa kuna moja lilikuwa na mabomu na Pingu!
 
Mkuu Lion of Juddah, King of Kings: Battom line ni kwamba Naibu Waziri kaibiwa karibu kila kitu ikiwa ni pamoja na pete mbili moja aliachiwa na baba yake. Hiyo alikuwa anaitunza ili siku akitangulia mbele za haki amuachie mwanaye. Pete nyingine ni ile aliyopewa na mkewe kwa mahaba. Pia Naibu Waziri ameibiwa mabegi matatu yenye laptop mbili na nyaraka. Pia wamemlamba dolla 4000! Hayo kayathibitisha mwenyewe. Hayo mengine watu wanajaribu kuunga moja na moja ili kupata mbili!!

huyu jamaa ni moto chini. mzima sana kwenye mambo ya chupi. wala sishangai na ni fisadi la kweli. hama kweli malipo ni hapa hapa duniani, hata pete za uchawi hazisaidii tena. huu ni mwanzo tu
 
Viongozi wetu kama wanajeshi! Hivi tatizo ni nini hadi anatembea na bunduki na bastola. Pia anasema anatembea na paspoti na hela kwa ajili ya dharura kuwa anaweza kusafiri wakati wowote! Hapa kuna ujumbe gani?
Huyu jamaa malima ni reflection tosha ya aina ya viongozi tulionao kwenye hii serikali......kiongozi unatembea na masilaa yooote hayo yanini???ina maana wanajijua kwa mambo wanayofanya hawako secure......kiongozi anaependwa na raia zake kwa kuwatumikia vyema hana sababu ya kutembea na misilaa yoote hii..tena eti alikuwa kazini???na misilaa yote hii!!...mi najiuliza hivi hawa mawaziri huwa wanajifunza nini wanapotembelea nchi za wenzetu???...ukienda nchi kama sweden viongozi wakubwa wanatembea hata mitaani bila kuwa na woga wowote ule wa kufanywa mbaya..manana wanawatumikia kwa ukweli raia.....sasa ona huyu malima...hizo silaha kama mwizi wake angeamua kumtoa roho si tungekkuwa tunasema mengine sasa!!....Waziri unakuwa room hotelini na documents za serikali huku ukifanya starehe!!!...haya ndio yale ya kusaini mikataba muhimu ya nchi mahotelini....yaani huyu jamaa ni reflection haswa ya namna haya majamaa mawaziri wa jk wanavyofanya kazi......bado siamini kuwa kavamiwa bali nitazidi kuamini kuwa alikuwa na malaya (kama kawaida yake tunamjua huyu saana tu)ambaye ndie kamwibia.....arobaini zake zilimfika tu leo..
 
Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.
Very true, hivi ni mnywaji?Ama walimpiga macloroform?
 
Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.

Florida 2000 ya jana hayo. Mambo westlands labda yupo blackdiamond,Havana au Bacchus anijipongeza!
 
Hapa alifakamia kachuchu akapoteza signal mchuja akakomba zaga. Jamaa naye kwa nini achukuwe kicheche asikamue wa geti? Duh hirizi ya kwenye pete ndo ivo imeenda ajiandae na umwakyembe manake firewall imeenda full virus zinakuja.
Wa geti hawatoshelezi, hawajui kuachia vyote.
 
Hayo ndiyo madhara ya nje cup.haibu yao aibu yake?........... BIASHARA_YA_MAFUTA_YA_PETROLI-2.JPG naona ndo alikuwa anafanya mazoezi siunaona hapo alivyoshika kiuno.
 
Eti Tanzania kisiwa cha amani huku kiunoni amepachika bastola na kwenye begi kuna AK-47.

Hii ni dalili ya wazi kwamba viongozi wetu hawana jambo lolote la maana wanalowatendea wananchi hadi kujihisi hawako salama, na matokeo yake wanaamua kutembea wakiwa wamejihami kijeshi. Nakumbuka waziri Majogo aliwahi kukamatwa nchini India akiwa na AK-47. Huu unaweza kuwa ni uthibitisho kwamba mawaziri na manaibu waziri wote wanatembea wakiwa wamejihami kijeshi!!:whoo:
 
Huyo mrembo ni kama alitumwa, sifa zke inaonekana zililengwa kwa jinsi anavyojulikana udhaifu wake, hivi mambo yake na Mengi vipi?Maana naona Radio one ndo ya kwanza kuvujisha lol!

Usitupe mawe kwa wenzako kama na wewe unaishi kwenye "Glass house".

Dah! Mkuu umefikiria sana, hadi ugomvi wake na Mengi.....!
 
Bw.Malima,tulijua tu utakanusha, ndo kawaida yenu..hatukutegemea hukubali.hamna utaratibu huo.Ila ukae ukijua hatudanganyiki, ukweli unabaki pale pale, umeibiwa na kahaba ulolala naye! eti umevamiwa, teh teh!!!
 
Dah........................... Kweli mdada alisherehekea siku ya wanawake duniani. Amemwonyesha naibu waziri kuwa yeye mwanamke akipewa nafasi, anaweza.

Dawa ya wasaliti wa ndoa zao.
Thank you for this post...you made my day...
 
Jamaa amelambwa dola 4,000, pete moja ya mkewe na pete nyingine aliyeachiwa na Marehemu Baba Yake. Hizo pete ndo zinazomuuma zaidi kuliko vingine. Ajabu wameacha silaha, bastola moja na bunduki kubwa moja

.
Mmh huyo CD iliyejigawia urithi wa Malima kiboko. Yaani mhusika pamoja na kuwa na ulinzi wa ile pete ya nanihii, na kwa upande mwingine Binduki na bastola havikuweza kumkinga asiibiwe.
Mazingira ya kuibiwa yanaonyesha kuwa muathirika alimkaribisha mwenyewe mwizi ndani. Sasa mwizi akakiuka mkataba kwa kuvunja makubaliyano ya msingi.
.
 
Haya mambo mengine jamani mtu kama yeye angenyamaza tu.
Sasa kwa kupiga kelele amejiharibia kwa wapiga kura wake, mwajiri wake (JK) ingawa sina hakika kama ni shida (hawa wote ni watu wa pwani hiyo ni suna) na hata political carrier.

Kumbukeni King Abdallah Kibaden Mputa alipoibiwa simu na Changudoa kule Ohio yaliyomtokea.
Arusha mbona watu wanalizwa kila siku wanakauka?
Shida ya wanasiasa wanapenda sana kulalamika, wao wanapora mali za watu tunanyamaza, wakigunswa wao tu shida.
tehe tehe tehe

Jamani, ukizidiwa ujanja hakuna jinsi, changu kahonga walinzi wote na kutimua, ndio REDISTRIBUTION OF NATIONAL RESOURCES.
 
Anasema kinachomuuma sana ni pete yakn aliyoachiwa na Baba yake, mambo ya uchawi tu ndio yanamsumbua. Watamalizana magamba.
hiyo mipete au walinzi?pia mbona anasafiri na mizigo mingi au begi moja la bunduki jingine nguo jingine mipete?
 
kama namuona alivyokuwa anatoa povu.......na kupiga mkwara!
 
bunduki mbili....pete za majini zote hazikufua dafu kumzuia changudoa kuondoka na mijidola......kunyonya nyonya huku ni balaa...naamini amekoma kabisa...
 
Back
Top Bottom