Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Malaya malaya tu!!

acha anyooshwe.............wakina mama hoyeeee.....
mkikamata malaya mwingine mnyoosheni...
bado nazi ya magogoni~
 
dah haya mambo ya ngono yanapeleka watu pabaya ..
We first lady acha tu! Lakini naye ni mtu jamani hebu angalia hiyo foto yako hapo inavyoonekana na mtu ambaye hajalewa kama mimi hapa halafu nije nikuone live nikiwa nimetoka kufuta JD moja ndogo na chui chui kadhaa unadhani itakuwaje? Kwa kifupi ni kwamba uchovu wake hata mimi nawza kujikuta naamkia Mikumi wamenitupa baada ya kuona sio deal
 
Huyo dada ni ROBIN HOOD kabisa......... you steal from the rich and give to the poor
 
Huyu atakuwa alikuwa anafukua mtu akachoka kwa kazi nzito hiyo nakupiga usingizi wa pono
Inawezekana Kabisaa, inanikumbusha yule kijana aliyebaka bibi kizee baada ya kula mzigo akalala fofofo
 
kanyonya chakula ya mtoto iliyowekwa madawa ya usingizi!
 
Watu wazima mnaingizwa choo cha kike hivi hivi inaingia akilini hotel ya chumba laki 4 isiwe na uridhi madhubuti?

mkuu mie cjaingizwa chaka mkuu..na ndio maana nikauliza haina ulinzi au uzio...na sasa nimeagiza mtu aliye moro anitumia picha za hotel hiyo..kuanzia nje hadi ndani..tujiridhishe
 
Huyo amekutana na "KICHWA CHA PEREGE" kilichokubuhu, aiseeeeeeeeeee, pole Waziri ...............


Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
 
We first lady acha tu! Lakini naye ni mtu jamani hebu angalia hiyo foto yako hapo inavyoonekana na mtu ambaye hajalewa kama mimi hapa halafu nije nikuone live nikiwa nimetoka kufuta JD moja ndogo na chui chui kadhaa unadhani itakuwaje? Kwa kifupi ni kwamba uchovu wake hata mimi nawza kujikuta naamkia Mikumi wamenitupa baada ya kuona sio deal

Mkuu heri wewe umesema manake mimi nilikuwa navumilia tu!
 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi

piga hesabu tangu juzi hadi leo 400000 * 3 = 1200000 ndani ya siku 3 hii ni kulala tu hapo hajala, hajafuliwa nguo hizo pesa wangenunua sindano ngapi ama drip pin ngapi na zingewasaidia wangonjwa wangapi wakati mwingine ukisikia kuchapa vibao na mungu ndio hii yaani huyo changu amefanya la maana sana kakomba mboga na ugali kakomba yaana machangu wote nawashauri waanzishe hiyo system ili iwefundisho kwa hawa makahaba wa serikali (wabunge+mawaziri)


kulala peke yake 1.2m halafu wanadai maisha magumu je mtu anayekula mlo mmoja kwa siku na familia yake sh.2000/ ya kitanzania atasemaje..... hizi ni laana za wananchi maskini moto utawawakia wote (wabunge) wanao wakufuru walala hoi

 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi


Hapo kwenye red, huyo dada mweupe kwa maana ya mzungu au mkorogo?? Nitarudi baadaye!!
 
Lakini mbona huu uzi umekaa kisomjo somjo, ni kweli waziri yamemkuta haya!

Mkuu Lion of Juddah, King of Kings: Battom line ni kwamba Naibu Waziri kaibiwa karibu kila kitu ikiwa ni pamoja na pete mbili moja aliachiwa na baba yake. Hiyo alikuwa anaitunza ili siku akitangulia mbele za haki amuachie mwanaye. Pete nyingine ni ile aliyopewa na mkewe kwa mahaba. Pia Naibu Waziri ameibiwa mabegi matatu yenye laptop mbili na nyaraka. Pia wamemlamba dolla 4000! Hayo kayathibitisha mwenyewe. Hayo mengine watu wanajaribu kuunga moja na moja ili kupata mbili!!
 
Huyo mrembo ni kama alitumwa, sifa zke inaonekana zililengwa kwa jinsi anavyojulikana udhaifu wake, hivi mambo yake na Mengi vipi?Maana naona Radio one ndo ya kwanza kuvujisha lol!

Usitupe mawe kwa wenzako kama na wewe unaishi kwenye "Glass house".
 
Nawaza comments za JK kuhusu ilo atamwambia dogo na wewe umezidi kula mizigo usioijua.
Ona sasa wamekuliza kila kitu,nimekusamehe ila usirudie tena.Gonga basi....................
 
Sasa hapo kweli kachanganyikiwa,hizo laptop sijui zina nyaraka gani muhimu za nchi,wacha mambo yaende hadharani tujue,anapojifanya kukana ataumbuka sana huyu,hajui kama dada mwenyewe hajamfyatua ma foto kibao shauri yake,lakini mara zote mungu huwa hamfichi mnafiki,
 
hivi hii imewahi kutokea kwa regime zilizotangulia au la? Maana kwa wenzetu katika mazingira haya ni ticket ya kujiuzulu.

Nakumbuka habari iliyotoka kwenye gazeti la Mwanahalisi miezi michache iliyopita kuwa huyu naibu waziri alisafiri na kwenda SA na kutumia taarifa bandia hotelini (sijui na ticket?) na hajawahi kukanusha hizo habari!

Ina maana na hiyo jean na kofia vimechukuliwa!?
View attachment 48924

Unaambiwa hadi nguo za NDANI zimesombwa itakuwa hiyo kofia ya Baba Kayayi;-)
 
Kutokuwa mwaminifu katika familia siyo sehemu ya maadili ya viongozi wa Taifa la Tanzania? Mbona nchi kama Ujerman au Italy tukio kama hili linampotezea mtu sifa za kuwa kiongozi?
 
Huyu alitakiwa ajiuzuru mara moja, na rais kwa hasira anatakiwa kuteua mtu mwingine bila hata kuijibu barua yake. Ila sasa na mkulu wetu ataondoa kibanzi kwa Malima wakati yeye ana boriti?
 
Back
Top Bottom