WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 977
Kama suala ni dogo hivyo, kwanini ametaka kulipa publicity kubwa hivyo?Anapitia humu mkuu. Anasema nguo zipo wamechukua jinsi moja na vitu vingine. Silaha zake wameziacha. wamechukua documents. Anasema anashangaa haki ya mungu, wameacha nastola na bunduki kubwa wataalamu wanaamini ni wadokozi tu na si majambazi kwa kuwa majambazi wangechukua silaha. Anahisi watu walimuona baada ya kuchungulia na kukuta amelala ama ni watu waliokuwa na taarifa na wanajua nini walichokuwa wanakifanya.
Ukubwa wa publicity = Ukubwa wa "ishu"!