Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Najribu kufigure hii kitu ni kazi za nje zimefanya hiyo au ni mchongo wa wahuni tu,dah maana ni aibu sana.
 
hahahaha.... yaani nimecheka sana siku ya leo lol! chezea totoz za mji kasoro bahari eeh! safisana huy changu alichokifanya ningekuwa na mjua ningempa zawadi....

mawazir, wabunge mmezidi hamna tofauti na machangudoa mnafuna hata kusiko funulika hiyo ndio dawa yenu teh teh teh
 
kama haya niyakweli anatakiwa kuresign mara moja . Lakini kutakana na tabia yabwana mkubwa kunyamaza nahili nalo litapita kimya kimya.

My take home message, please hor malima you should resign.

r u serious?
 
hivi hii imewahi kutokea kwa regime zilizotangulia au la? Maana kwa wenzetu katika mazingira haya ni ticket ya kujiuzulu.

Nakumbuka habari iliyotoka kwenye gazeti la Mwanahalisi miezi michache iliyopita kuwa huyu naibu waziri alisafiri na kwenda SA na kutumia taarifa bandia hotelini (sijui na ticket?) na hajawahi kukanusha hizo habari!

Ina maana na hiyo jean na kofia vimechukuliwa!?
View attachment 48924

You made my day!!
 
Ajalizwa na mwanamke kweli huyo? Maana na yale mapete yake anaonekana kama ajatulai huyu jamaa.Mpeni pole,ila nadhani malalamiko ya watanzania juu ya umeme yameanza kufanya kazi.
 
hivi akirudi kwa mkewe atasema ilikuwaje akasafihwa hata asibakiziwe bukta kama sio chupi ya kuvaa!!!
 
Vp unataka kumnyang'anya mshikaji nini? Umeona neno mpododo tayari ubongo wako umesha haribikiwa na feelings

Wewe ndiye mwenye ubongo ulioharibikiwa. unajua nilichokuwa namaanisha? Siyo lazima ujibu comments kama hujaelewa!

Soma hapa chini
quote_icon.png
By Mungi

quote_icon.png
By Fidel80
Mpododo wangu ni wanguvu nahofia waziri anaweza nizidi kete
 
ndo madhara ya kutoka nje ya ndoa hayoooooooo......jamaa wamemchuuuuumu mpaka kasahau kuwa yupo na changu duuuu:hug:
 
Anaweza tengeneza pesa nyingi sana akiuza kwa Shigongo hapo

hotel kubwa kama hiyo ni lazima ina CCTV Camera, nadhani magazeti ya udaku yawahi kudaka clip ya jinsi mheshimiwa alivyokuwa akiingia na mjasiliamali kwa room yake.
 
Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.

ile micheni na mipete yake ya gold lazima huyo changu atakuwa amelamba yote, mweeeeeeee! wanaume tuna kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom