Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!


Mkuu ni mapowuuuda yanawekwa kwenye nyonyo; sasa ukijifanya wewe ndio wewe unalamba kila kitu ukaamua kunyonya tits basi unakumbana na powuuuda unalala wa pono. Jamaa anajisevia.
 


Huyu kwa vyovyote alikuwa na DEMU huko hotelini, Kwa hiyo jamaa baada ya mambos kalala usingizi, binti kabeba hata nguo zake ameenda kukunguta mbele kwa mbele.

Ile ndio Morogoro Mji wa maraha!!!!!!!!!!!!



HIZI NDIZO AJIRA 2,000 ALIZOTUAHIDI J. KIKWETE KATIKA KAMPENI ZAKE.

HONGERA BINTI NITAFUTE NIKUPE ZAWADI. NAMBA YANGU NI 0757 ----22



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Amenikumbusha siku nililala gest ya uswahilini nguo zikachomolewa usiku kupitia dirishani, kesho yake ikabid mhudum aniazime kitrauza (kipedo) nikatinga nikawahi geto... Hivi haya mambo kumbe yapo hata kwenye nyota tano?!

Hahaha umenikumbusha mbali sana kwa stori yako. Hili suala la kuchomolewa nguo dirishani ni la kawaida uswazi. wanachukua mti wanafunga ndoana basi wanatoa kiulaini na lengo lao hasa si nguo bali ni vilivyomo mifukoni kama pochi simu etc.

Kuna mzee mmoja hili liliwahi kumtokea sasa anafumbua macho anaona kitu kirefu kinaingia kupitia dirishani, basi akajua ni nyoka aina ya Cobra wao huita (koboko), akaanza kuomba dua akijua kuwa leo ndiyo mwisho wake akawa ame-freeze, sasa akaona Koboko anaenda kwenye nguo na kuiuma nguo na kurudi nayo dirishani taratiiibu, aarrgh akaruka na kufoka kumbe siyo Koboko £%$^%^$ we! jamaa akaacha mti na kukimbia.

Usitundike nguo ukutani ikiwa na vitu vya thamani mifukoni.
 
Yawezekana alikumwa mgumu kwenye malipo, kwa hiyo mdada akaamuakujilipia mwenye
 
Habari hii imerekodiwa toka Kipindi cha Mchana huu cha TBC Taifa
kama TBC wanaweza kuficha uchafu huu usijulikane ni ngumu maana hata waliokuwepo kwenye tukio wameshindwa!



 
Mimi huwa nafunga Wallet na Rubber band nyingi kwenye Feni halafu nawasha namba 5 weeee hapati ki2...
 
Kwa hiyo unataka kutuambia nini?
Mke mdogo anakuibia au anachukua kilicho chake/
Na kama anachukua chake - hiyo style ni sawa kumuacha mume uchi bila hata nguo?


Hawa wanapotosha uhalisia wa tukio.
Cha msingi waziri akapimwe afya yawezekana kalishwa madawa ya kulevya bila kujua na huyo ndege mjanja
 
Raha imegeuka kuwa karaha! pole sana mzinzi mwenzangu!
Ningekuwa Adam nikichukua mrembo nahamishia kitanda mlangoni. hakuna mtu kutoka.
Mkuu ile kitu ukionja, mtu anaweza kufanya lolote na usistuke, kwa hiyo hata ukiweka kitanda mlangoni haitasaidia kitu. Dawa ni kuachana na hiyo mambo unapokuwa safari.
Hivi Dar na Moro kuna umbali gani kiasi kwamba alishindwa kuvumilia? Otherwise angesafiri na mkewe tu. Sema hawa wakubwa nadhani kuna stage ya maisha waliiruka au starehe za siku hizi zimekuwa tamu kuzidi zile wakati wao wakiwa wadogo/vijana.
 
Vipi mpododo wako anatabia kama hiyo ya kukimbia na nguo?

Vp unataka kumnyang'anya mshikaji nini? Umeona neno mpododo tayari ubongo wako umesha haribikiwa na feelings
 
Raha imegeuka kuwa karaha! pole sana mzinzi mwenzangu!
Ningekuwa Adam nikichukua mrembo nahamishia kitanda mlangoni. hakuna mtu kutoka.
Mkuu Avatar yako ni ya Army General. Ukiamua kuingia huko lazimz uwe makini sana, Army General lazima awe ana silaha ndogo ndogo kwa ajili ya kujilinda wasije wakakomba na mtunza armoury akawa shingoni mwako.
 
muda 13:14 pm ndo nini,yaan umemaliza mpaka chuo kuandika muda ni mgogoro,pepa lako la form 4 akilipata dr.ndalichako lazima akufutie matokeo!

mkuu wakubwa kusetiriana hakuna mkamilifu ktk dunia hii, ila umakini unahitajika jamani hata ktk mambo madogo kama hili tunakosea pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…