PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hao ndiyo wanapewa madaraka
Shame on him
 
Anajua maana ya Mafia? Yani vikundi vya kihalifu vinavyojihusisha na biashara haramu na mauaji ni jambo la kujisifia tena kwa kiongozi wa umma?

Hii nchi tuna mengi ya kufanya, tuanze na no reforms no election ndipo huu upuuzi mwingine ufuate.
 
Mama
*****
 
Kama kweli Deus Sangu ni TISS operative basi TISS haina right people!! Huwezi kuwa operative wa intelligence agency halafu ukaji UNMASK so foolishly!!
 
siasa za maji taka huyu Baraka kayakanyaga kwa mujibu wa sheria ya cyber
 
Aambiwe ana tatizo la akili awahi kumuona daktari mapema, yaani uue mtu kwasababu ya kutaka kugombea Ubunge kushindana na wewe?..

Dah tuna tatizo kubwa sana, tena huyu ni TISS, yaani hawa ndio aina ya TISS wetu.
 
Deus Sangu

Photo : Deus Clement Sangu

Huyu lazima atakuwa mmoja wa waratibu, wawezeshaji na mfadhili wa mbinu chafu za watu wasiojulikana wanaofanya vitendo vya kutisha, kuteka, kupoteza, kutupa watu maporini.

TOKA MAKTABA :
Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi peke yangu, mimi Deus Clement Sangu...

View: https://m.youtube.com/watch?v=54K_07rZsV0
YearLevelSchoolAwards
2013 - 2015Masters DegreeMzumbe UniversityMaster of Science in Procurement and SUpply Chain Management
2007 - 2010Bachelor DegreeUniversity of Dar es SalaamBachelor of Commerce in management Science
2005 - 2007Advanced DiplomaMwakaleli Secondary SchoolACSE
2000 - 2004Secondary SchoolKaengesa Secondary SchoolCSEE
1993 - 1999Primary SchoolLaela A Primary School

YearPositionOrganization
2018 - 2020Senior Manager ProcurementTPB Bank PLC
2013 - 2018Head of ProcurementTwiga Bancorp Ltd
2012 - 2013Procurement OfficerTwiga Bancorp Ltd
2011 - 2012Bank Operations OfficerTwiga Bancorp Ltd
2010 - 2011Bank Operation OfficerBarclays Bank T Ltd

Source : Bunge Polis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…